kwa lipi mkuu...hebu tuweke waziHapana Mallah hana tatizo mwenye matatizo ni Lema.
Malla hana lolote ameingiza chama kwenye migogoro Arusha maoni yangu atoswe na wale vibaraka wake wachache hata 50 sidhani Kama wanafika.
Mimi aliniacha hoi ni pale alipotoa mfano wa mimba ya mwanafunzi yaani yeye apewe mimba na CCM aisingizie Chadema wapi na wapi.Malla hana lolote ameingiza chama kwenye migogoro Arusha maoni yangu atoswe na wale vibaraka wake wachache hata 50 sidhani Kama wanafika.
kwa ufupi hawa madiwani wamekalia kuti kavu, huwezi kubishana na maamuzi ya CC ambayo ni chombo cha juu kabisa cha maamuzi, hiki kiburi sijui wanakitoa wapihaiingii akilini eti slaa na lema waliujua huu muafaka halafu baadae wanakataa,.no,hawa madiwani wamehongwa tu sababu ndio mchezo wa magamba,na tunaposema rushwa,haimaanishi pesa tu,hata vyeo walivyopokea bila baraka za viongozi wa juu ni rushwa,..narrow minded councilors wamekomaa eti waprove rushwa waliopokea,wanasahau kuwa hivyo vyeo ndio rushwa yenyewe....