Esther Matiko

Esther Matiko

Sango Ochwera

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
98
Reaction score
26
Nimeingia Saloon moja ya kiume hapa mjini Musoma na kukuta mabishano makali ambayo hata hivyo hayakupata muafaka.Mabishano hayo yanamhusu Mbunge wa viti Maalum wa Chadema Mhe Esther Matiko kuhusu kabila lake na uhalali wa yeye kupata Ubunge wa viti maalum kupitia Mkoa wa Mara.
Wapo waliosema na kushikilia msimamo wao kuwa Mbunge huyo ni Mkurya kutoka wilayani Tarime huku wengine wakisema kuwa ni Mchaga ambaye kaolewa na Mtu wa Tarime.Tunaomba wanaomjua vizuri Esther Matiko watupe ukweli wa jambo hili.
 
mpaka leo mbabishania makabila?...nyie wote ni wapu.mbavu!!
 
Ni Mhaya anatokea kijiji cha Machuba mkoani Kagera...
 
Ni mkurya wa Tarime kutoka korotambe kama sijakosea.
 
Back
Top Bottom