PreGE2025 Esther Matiko sasa ni mwanachama wa CCM

PreGE2025 Esther Matiko sasa ni mwanachama wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na baadaye Mbunge wa Viti Maalum Esther Nichoulas Matiko amethibitisha kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na anatarajiwa kuchukua fomu ya kukiomba chama chake hicho kipya kumpa ridhaa kuwania Ubunge wa Tarime Mjini kwa kipindi cha 2025-2030.

Matiko amekoleza joto la Ubunge wa Tarime Mjini ambapo anatarajia kumenyana na vigogo kadhaa akiwamo Mbunge anayemaliza muda wake Michael Kembaki.
1751173965148.png
 
Ningekuwa ninq hela ningefungua kesi kupinga mafao yao kama mtanzania.
 
Waitara Atalia Sana Sana
Wanasiasa Mal*y,* Mal*y*
 
Back
Top Bottom