Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko amesema mpango wa kuingia Chama Cha Mapinduzi(CCM)alikuwa nao muda mrefu tangu wa wakati wa Serikali ya awamu ya Nne ya Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho kikwete
Matiko ameyasema hayo Musoma Mjini Mkoani Mara wakati akihojiwa na Wasafi Media kwenye muendelezo wa Mikutano ya Kampeni za uchaguzi Mkuu ya Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya CCM,Dkt. Samia Suluhu Hassan
Matiko amesema kuwa alitafakari Kwa muda mrefu ili kujiunga na CCM maamuzi yake yalikuwa sahihi na ndio maana alipokuwa Chama Cha Demkrasia na Maendeleo(CHADEMA)kwenye majukwaa hajawahi kukisika akisema neno la CHADEMA au kuonyesha ishara ya Chama hicho.