Esther Bulaya VS Esther Wassira

Nani utampa kura yako ubunge Bunda kati ya Steven Wasira (CCM) na Esther Wasira (Chadema) ?


  • Total voters
    112
Status
Not open for further replies.
Mzee Wasira bado anautaka ubunge maana hajawahi kusema hatagombea tena, mwanae pamoja na kwamba hajatangaza rasmi kugombea ila wanachadema wengi wanaona ni wazo zuri akagombee Bunda. Je, unadhani hiki kinyanganyiro nani angeibuka kidedea?
 
Easter wasira Mia Mia na kale ka gamba Bulaya nak 001 na wasira mzee0.02
 
Esther mganga njaa baada ya kupgika mtaani kaona bora akahongwe udiwani viti maalumu 2015
 
Esther mganga njaa baada ya kupgika mtaani kaona bora akahongwe udiwani viti maalumu 2015
Una ushahidi? Watanzania wote wanajua kuwa Esther ni mwanamapinduzi, ni wewe tu hujui
 
ngoja nione mwisho wake!ila ni mpiganaji nimemkubali kwa hilo
 
Esther mganga njaa baada ya kupgika mtaani kaona bora akahongwe udiwani viti maalumu 2015

Kwa hilo mkuu nabisha kwa familia anayotokea,ana uwezo wa kupewa kazi popote bila hata interview
 
Esther wassira calls a spade a spade and not a big spoon,Esther bulaya is vice versa!!!hivi huyu bulaya si ndo alifyatua risasi igunga kutaka kuwaua viongozi wa cdm?E.wassira impressed me alivyojenga hoja nzito na kujiamini pale nkrumah siku ya kumbukumbu ya kifo cha JKN..bulaya ni mpayukaji na mwoga kwa chama chake...steven wassira is out of the equation..
 

Nakubaliana na Mazindu Msambule. There are high chances of facing conflicts of interest if she goes to Bunda. She is argumentative, good orator and eloquent. Better find another jimbo.
 
Kaongea vizuri hilo halina ubishi lakini ebu tuwe na muda wa kumsoma mtu si tu kwa kauli ya siku moja kwenye kongamano. Tafuteni historia yake na tabia yake tangu primary- secondary- chuoni na maisha yake katika jamii. Watz tusiwe wepesi wa kumuhukumu mtu baada tu ya kutoa speech ya siku moja juu ya kumpa uongozi popote.
 
Sikubahatika kuangalia presentation yake, niliomuona esta wassira wakati anafanya majumuisho kwa dakika km mbili tu, lkn binti huyu nijembe wakati anaongea kama makamanda mlimfuatilia vizuri nape alikuwa anatetemeka. Bro ebu niwekee full hotuba hapa kwenye mtandao wetu
 
mbona naona hata yule esther bulaya hafit ccm maana inaonekana akili yake inafanya kazi sawia na mtu anayependelea mwenendo wa chadema zaidi na hata kampani yake kubwa ni wanachadema
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…