*Esther Bulaya ni mbunge wa kike, kijana kwa tiketi ya CCM viti maalum, watu wengi wamepata kumzungumzia uwezo wake wa kisiasa humu JF mara kadhaa. Ameonekana Bungeni na mara kadhaa kwenye majukwaa ya kisiasa akijenga hoja.
*Esther Wassira alionekana kwa mara ya kwanza kwenye ulingo wa kisiasa siku akichukua kadi ya CHADEMA, watu wengi walitaka kumfahamu uwezo wake wa kisiasa(kujenga hoja na kuamsha ushawishi), na kupitia hotuba aliyoitoa kwenye kongamano la kumbukumbu ya mwalimu Nyerere pale Nkurumah kila mtu sasa anaweza kumzungumzia.
*Sababu za kutaka kuwalinganisha kisiasa.
1/Mfanano wao (Wote ni wanasiasa, vijana, wanawake, wanatoka Bunda, wajita? wameshawahi kuwa na mzozo wa kisiasa na Steven Wassira, wote wanaitwa Esther!!)
2/Wanatoka vyama viwili vinavyopinzana.
3/Watu wengi wanataka kuona mmoja wao akirithi kiti cha ubunge wa Steven Wassira kule Bunda 2015.
***Wadau wa JF mnaweza kuchangia kwa kujenga hoja za ulinganifu wao kisiasa.
Waendelee kuinoa ili Bunda ipate mbunge kati yao akina Esther.
Mkuu kwenye political platform, mvuto wa sura una umuhimu sana kuwavutia watu wakufahamu au wakupende. Umesahau ya JK 2005?Esther Wassira kwa kweli sio mzuri wa kujenga hoja tu ila hata sura anayo. Sikuwepo kwenye jukwaa la mwalimu lakini na nilimwona kwenye TV jana akanivutia sana sana learned counsel, nadhani kama vile natamani kumfahamu zaidi
Kama ana nia ya kugombea Bunda, aanze kujisogeza huko Bunda pia awe karibu na wapiga kura. Anaweza kwenda huko hata mara moja kila baada ya miezi minne na kupiga mikutano mitatu, kwa nguvu ya CDM huko sioni cha kuzuia ushindi. Huyu Bulaya ni binti misifa tu, hamna kitu kabisa.Esther Wassira kwa kweli sio mzuri wa kujenga hoja tu ila hata sura anayo. Sikuwepo kwenye jukwaa la mwalimu lakini na nilimwona kwenye TV jana akanivutia sana sana learned counsel, nadhani kama vile natamani kumfahamu zaidi
Sidhani kama uko sahihi. sio wajita wote mmojawapo muikizu. Na humu ndani makabila ya nn. kinachotakiwa uwezo wa mtu kuiongoza BUNDA regardless anatoka chama gani
Mkuu kivipi? Jaribu kufunguka zaidi.Mkuu Concrete, Esther Wassira naona ni zaidi.
Esther Wassira kwa kweli sio mzuri wa kujenga hoja tu ila hata sura anayo. Sikuwepo kwenye jukwaa la mwalimu lakini na nilimwona kwenye TV jana akanivutia sana sana learned counsel, nadhani kama vile natamani kumfahamu zaidi