Mgombea wa ubunge jimbo la Bunda mjini kupitia chadem,Esther ameonyesha kukata tamaa kutokana na kutoungwa mkono na wafuasi wa chadema ambao pia wamekuwa wakimzomea kila anapopita.Hali inapelekea Steven Wasira kushinda kirahisi katika jimbo hilo.

Chadema mnamsaliti mgombea wenu
naona mmeanzisha post halafu mmeitana haraka haraka mchangie :wink::wink:
Bado ukawa ni tishio...
Japo bulaya hakujiandaa mapema kugombea jimbo la wasira.
Bulaya mbunge saa 3.00
Chadema mnamsaliti mgombea wenu