She is the top most beautiful and hottest female Politician in Tanzania. Whenever she speaks, whenever i see her, she real inspire me! Hivi huyu dada ni Mkuria, Mjita au Mjaluo? Ni mzuri sana.
Napata raha sana kila ni mtazamapo, nitamtafuta Ester hata kwa dinner ama lunch. Ester kama upo huku, ni vizuri ukaona ninachofeel juu yako. Uliniacha hoi ulivyomjibu Kigwangala wakati wa Kamati ya Matumizi Wizara ya ujenzi.
Nilijikuta napiga makofi mfululizo. Utanifanya nianze kujifunza Siasa, nikishindwa itabidi uachane na siasa (if i will get you).