Ester Matiku you are so beautiful

Ester Matiku you are so beautiful

Msaada kidogo hivi ni Matiku au Matiko..
Kama ni Matiko basi kuna mdogo wake yuko soooo hot than her!!
 
Siyo kweli runinga zinawadanganya ukimsogelea karibu usoni ananundu na mabaka yasiyoisha,

Anamguu zuri na umbo zuri ila usooni kama kambale best wa hovyo kabisa.

Acha wivu basi mkuu!Kwa hiyo hata Wasira tv zinatudanganya?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Waka waida tu ila anajua sana kujenga hoja,ilaanadhalau!Nimesoma nae mlimani,
 
She is really beautful woman nami pia nmempenda....!!!
 
Siyo kweli runinga zinawadanganya ukimsogelea karibu usoni ananundu na mabaka yasiyoisha,

Anamguu zuri na umbo zuri ila usooni kama kambale best wa hovyo kabisa.
Mh!, mtendaji!, ya kweli hayo?, Kama runinga zinadanganya sasa nikikutana face to face na Wasira au Pinda au Z. Kabwe Si nitapata homa!?.
 
Waka waida tu ila anajua sana kujenga hoja,ilaanadhalau!Nimesoma nae mlimani,

nilijua tu lazima mtakuja eti umesoma nae..ole ole brand kubwa so kitoto....watu mtu kati hunikuti .. na kitia adabu by joh makini
 
Mh!, mtendaji!, ya kweli hayo?, Kama runinga zinadanganya sasa nikikutana face to face na Wasira au Pinda au Z. Kabwe Si nitapata homa!?.
Hakika mkuu nimeonana naye na kuketi naye ana kwa ana usooni anakatisha tamaa sana hata mie mwanzo nilijua kinanda kweli,

Lakini baada ya kuonana naye nilichoka sijui usowake upoje bana tena siku hiyo walikuwa mtu tatu alikuwa yeye,bulaya,halima mdee huwezi amni sijui kama ni vipodozi vilimharibi au ni nini.
 
Siyo kweli runinga zinawadanganya ukimsogelea karibu usoni ananundu na mabaka yasiyoisha,

Anamguu zuri na umbo zuri ila usooni kama kambale best wa hovyo kabisa.

ishu kwani ni nundu braza? she is beautiful give her some credit anaongea vizuri sura yake ni nzuri.

hizo nundu unazozisema wewe haziwezi kuwa permanent on her face!!
BTW women of that type are very sweet!!
 
Back
Top Bottom