Ester Bulaya: Prof Magembe ni mwepesi kama 'tishu'!

Ester Bulaya: Prof Magembe ni mwepesi kama 'tishu'!

Moja ya sifa iliyofanya nisiwe tena na imani na Mh Rais Magufuli ni kuona amerudisha aina ya Mawaziri wale wale waliokuwa na tuhuma katika awamu ya nne ya mh Kikwete kaongeza na wakwake wengine walevi
 
"Mbunge hachaguliwi cha kusema."Ni hatari kubwa.Kwa hiyo hata kauli za kifedhuli ni rukhsa kwa kuwa ni mbunge?

Ni moyo mgumu sana unahitajika kufuatilia bunge hili.
 
Napata shaka kama hiki kijibinti kilikuwa timamu kiakili. Huwezi mwita mzee aliyekuzidi tishu lazima utakuwa umefyatuliwa na Kitwanga kadhaa. Kangepimwa hako.
 
Bulaya kasahau au Kusudi juzi tu wametoka mbio Bungeni kisa yule Mtoto wa Morogoro kawaambia wao ni ma baby wa Kina.........

Tofautisha kati ya neno la kuudhi na matusi. Kuambiwa mwepesi kama tissue ni sawa na kumwambia mtu ni mwepesi sio tusi bali linaweza kumuuzi mtu. Lakini yule kijana zoba aliyepata ubunge kwa vile tuu mama yake kafa alitukana.
 
Napata shaka kama hiki kijibinti kilikuwa timamu kiakili. Huwezi mwita mzee aliyekuzidi tishu lazima utakuwa umefyatuliwa na Kitwanga kadhaa. Kangepimwa hako.
Mlipowaita wenzenu 'mababy' hamkuona shida. What goes around...
 
Mbunge wa Bunda mjini Ester Bulaya jana alivuruga bunge baada ya kusema Prof Maghembe ni mzigo mwepesi kama tishu. "Huyu waziri aliwahi kuitwa mzigo na Kinana na kweli ni mzigo tena mwepesi kama tishu" alisema Bulaya.

Kauli hiyo ilimuinua Muhagama aliyetaka Bulaya afute kauli hiyo kwani ni ya kuudhi lakini Bulaya alikataa kufuta kauli hiyo kwa kusema mbunge hachaguliwi cha kusema.
weka clip basi mkuu..
 
Kosa ni la Kinana na Nape walioanzisha mawaziri mizigo! Sas imewageuka wanaanza kuficha uvundo!

Mhagam na ni mzigo asubiri muda tu atarudi bench akapige kelele kwenye chama! Si ndio naona sas anakomaa sana huko!
 
mim sioni ubaya wa kusema katka hilo.Wizara zinaundwa tu,kila miaka ni kutumia fedha,haziji na mikakati ya kuliingizia taifa pesa na hawana malengo ya kupata mapato wao ni kwenda bungeni na kutoa makadirio na kwenda kutmia hizo fedha.

Na ndio maana niliwahi kusema sasa ni wakati wa kutenganisha siasa za serikali nikimaanisha kuwa,mawaziri wasiruhusiwe kuwa wabunge wala wanasiasa.Tuanze na hapo kwanza kama hatutafika mbali,maaana siasa ndizo zinaumiza nchi.
waziri mzigo kama huyu hajui hata jinsi atakavyoingizia nchi yake mapato zaidi ya kulalamika tu kupokea misaada nk.

Wizarar kama hizi,wizara ya nishati na kilimo nk zitakiwa pia ziwe wabunifu ni vipi wataingizia nchi mapato mengi zaidi kuliko ya hapo nyuma na zaidi.Lakni ndio wizara kama hizi wanapewa watu wa ajabu,hawajui dunia inakwenda vipi,inataka nini,wala siasa zake.wapo tu kama maji ya chooni.

kila wakati nikifikiria kazi na impact za mawaziri hawa na akili zetu sisi waafrica naanza kuamini uwepo wa kitu kimoja mzungu alikiita IQ.kweli waafrica ufikiri wetu ni mdogo sana na dhaifu.


Mzee mimi naona utakuwa si sahihi kusema IQ za waafrika wote ziko chini, Mfano wa nchi yetu Tanzania haijawahi kujua uongozi wowote zaidi ya CCM.

Zao lolote la udumavu wa fikra katika nyanja zote zinaakisi uongozi wa CCM ni wa aina gani.

Kwa kweli ukikaa ukasikiliza michango ya wabunge wa CCM unakata tamaa kabisa ya jambo lolote jema kutendeka chini ya maono yao.
 
hahahahahah kauli imenikwaza sana hyo, bora hata angesema ni mzigo mzito kama bao. loh
 
Back
Top Bottom