Cannibal OX
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,200
- 3,603
Ni kweli huyu Prof ni mzigo wa Taifa.
Mwepesi kivi atuelevizuri maana hatumuelewieliwi hivi!Mwepesi kama tishu, huu ugomvi wa ngumi!
Ilikuwaje wakamteua tena sasa?Nape na Com. Kinana walisha muona kitambo sasa sijui kwa nini Min. J. Mwagama alikuwa anamchokoza Hon. E. Bulaya????
Mbunge wa Bunda mjini Ester Bulaya jana alivuruga bunge baada ya kusema Prof Maghembe ni mzigo mwepesi kama tishu. "Huyu waziri aliwahi kuitwa mzigo na Kinana na kweli ni mzigo tena mwepesi kama tishu" alisema Bulaya.
Kauli hiyo ilimuinua Muhagama aliyetaka Bulaya afute kauli hiyo kwani ni ya kuudhi lakini Bulaya alikataa kufuta kauli hiyo kwa kusema mbunge hachaguliwi cha kusema.
No. Ni u profesa wa nyuki kabisa kutoka SUAHivi Mheshimiwa Maghembe si ni PROF jamani au Uprof wake ni wa Heshima????
Haaaaaa du,Hivi Mheshimiwa Maghembe si ni PROF jamani au Uprof wake ni wa Heshima????
Kwani vipi? Mbona wakwenu wakiropoka huandikagi huu upuuziIla Easter bulaya Muda wake unahesabika asijifanye muongeaji saaana. Wapo waliojifanya hivo Wapo wapi?
Vijembe vya wabunge sio vya kuingilia, ukute waheshimiwa wanabebana (Kiutu uzima kwenye mambo yetu yale) kila siku baada ya vikao hivyo wanajuana uzito wao, labda mzee kila siku yeye yupo juu anapepetwa sisi tunakaa kuwajadili hapa. Wanajuana kwa vilemba hao.