GE2025 Ester Bulaya: Nilikuwa CHADEMA kwa mkopo, nimerejea nyumbani CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Aliyekuwa Mbunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kada wa chama hicho Ester Bulaya amerejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kutangaza nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara kupitia CCM.

Bulaya ambaye alijizolea umaarufu mkubwa kupitia CHADEMA amesema alikuwa ndani ya chama hicho kwa mkopo na sasa anarejea nyumbani na kwamba furaha yake ni kuwatumikia wananchi akiwa ndani ya CCM, ambayo ameitaja kama chama chenye dira, maono na dhima ya kweli ya kuwatumikia wananchi.

Soma, Pia: Ester Bulaya aliyekuwa CHADEMA atimkia CCM, achukua fomu ya Ubunge Bunda Mjini

Ester Bulaya ni miongoni mwa wabunge 19 wa Viti Maalumu wa CHADEMA ambao chama hicho kilitangaza kuwavua uanachama, lakini walisalia bungeni hadi kuhitimishwa kwa Bunge la 12 kwa amri ya mahakama.

Esther Bulaya ni miongoni mwa wabunge 19 wa Viti Maalumu wa CHADEMA ambao chama hicho kilitangaza kuwavua uanachama, lakini walisalia bungeni hadi kuhitimishwa kwa Bunge la 12 kwa amri ya mahakama.

Kwa mwenye akili timamu ni lazima kuwa ndani ya ccm na si vinginevyo .
 
hapo kwenye "AKILI TIMAMU" kuna vitu vingi sana vinajumuishwa na inategemea ntu na ntu..
wengine watakurupuka na POVU bila kuelewa...
 
Aliyekuwa Mbunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kada wa chama hicho Ester Bulaya amerejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kutangaza nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara kupitia CCM.

Bulaya ambaye alijizolea umaarufu mkubwa kupitia CHADEMA amesema alikuwa ndani ya chama hicho kwa mkopo na sasa anarejea nyumbani na kwamba furaha yake ni kuwatumikia wananchi akiwa ndani ya CCM, ambayo ameitaja kama chama chenye dira, maono na dhima ya kweli ya kuwatumikia wananchi.

Soma, Pia: Ester Bulaya aliyekuwa CHADEMA atimkia CCM, achukua fomu ya Ubunge Bunda Mjini

Ester Bulaya ni miongoni mwa wabunge 19 wa Viti Maalumu wa CHADEMA ambao chama hicho kilitangaza kuwavua uanachama, lakini walisalia bungeni hadi kuhitimishwa kwa Bunge la 12 kwa amri ya mahakama.

😂😂😂😂😂😂😂. Eddo kumwembe unaona SASA hujuaji WAko WA kuquote na kuwafanya akina Pele maprofesa ulivyotuponza.

Mtanzania maskini na habari za Leicester city wapi na wapi .

DStv Tu ndo Hao kuziona EPL, UCL nasikia NI mpaka ulipe 45,000
 
Aliyekuwa Mbunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kada wa chama hicho Ester Bulaya amerejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kutangaza nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara kupitia CCM.

Bulaya ambaye alijizolea umaarufu mkubwa kupitia CHADEMA amesema alikuwa ndani ya chama hicho kwa mkopo na sasa anarejea nyumbani na kwamba furaha yake ni kuwatumikia wananchi akiwa ndani ya CCM, ambayo ameitaja kama chama chenye dira, maono na dhima ya kweli ya kuwatumikia wananchi.

Soma, Pia: Ester Bulaya aliyekuwa CHADEMA atimkia CCM, achukua fomu ya Ubunge Bunda Mjini

Ester Bulaya ni miongoni mwa wabunge 19 wa Viti Maalumu wa CHADEMA ambao chama hicho kilitangaza kuwavua uanachama, lakini walisalia bungeni hadi kuhitimishwa kwa Bunge la 12 kwa amri ya mahakama.

We kiherehere unatakaje ye ndio kasema. Tuliza makalio sikiliza anachosema ndio ukweli wake.
 
Aliyekuwa Mbunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kada wa chama hicho Ester Bulaya amerejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kutangaza nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara kupitia CCM.

Bulaya ambaye alijizolea umaarufu mkubwa kupitia CHADEMA amesema alikuwa ndani ya chama hicho kwa mkopo na sasa anarejea nyumbani na kwamba furaha yake ni kuwatumikia wananchi akiwa ndani ya CCM, ambayo ameitaja kama chama chenye dira, maono na dhima ya kweli ya kuwatumikia wananchi.

Soma, Pia: Ester Bulaya aliyekuwa CHADEMA atimkia CCM, achukua fomu ya Ubunge Bunda Mjini

Ester Bulaya ni miongoni mwa wabunge 19 wa Viti Maalumu wa CHADEMA ambao chama hicho kilitangaza kuwavua uanachama, lakini walisalia bungeni hadi kuhitimishwa kwa Bunge la 12 kwa amri ya mahakama.

Ameongea vizuri sana. Ameeleza kuwa hajawahi kuwa mwanachama muaminifu wa Chadema. Sasa hivi mabaya na mazuri yote ya chama chake yatakuwa ya kwake. Swali lililobaki ni je rafiki yake Halima Mdee alikuwa anajua kuwa Esther Bulaya ni mole?

Amandla...
 
Back
Top Bottom