Ni Kweli,
Ingetokea Magu kafariki 2019, Samia angekuwa Mwenyekit wa CCM kwa miaka 11..
Hoja ya Ukomo kwenye vyama vya siasa wanaoishabikia hawajui madhara yake..
CCM ndio mnufaika mkuu wa hiyo agenda, wengine wote wanaojiita vyama vya mageuzi hawafaidiki hata kidogo...
Vyama vyao ni vidogo sana kuwezo ku enjoy hiyo comfort ya ku badili Kiongoz kila mara...
Mfano CDM pamoja na yote waliyopata 2015, hawajawahi fikisha 30% ya seat za Ubunge....
Learn or Perish..