Halima mdee ndo wakuuliza ajaibu sahihiAmeolewa huyo dada?
Ameolewa huyo dada?
Halima mdee ndo wakuuliza ajaibu sahihi
Acheni kuuliza maswali ya kijinga, tamaa ya ngono imekujaa kichwani
Kamuulize yeye atakujibu maana alikuwepo huko ccm lkn baada ya kujitambua akaamua kukimbilia kwenye chama cha kuwatetea watanzania kwa dhati.
Bila ngono Hakuna maisha
Mbona anafanana na Daz Baba ni ndugu yake ?Kama kuna jambo linalo muuma na kumkera mzee Wasira mbunge wa zamani wa Bunda basi ni kitendo cha kunyang'anywa kitumbua chake mdomoni.
Aliye amua kumtesa mzee wetu Wasira siyo mwingine bali ni binti wa Bulaya na akawa kavunja mwiko pale mkoani kwetu Mara kwa kumshinda gwiji wa siasa mzee Wasira.
Hakika huyu binti ni mpambanaji wa kweli wa mambo ya siasa na kimaendeleo.View attachment 1208108
Shoga yake wakaribu huenda akatoa jibuUnamaanisha nini ukisema Halima mdee
Ameolewa huyo dada?
Kwanini usiulizwe wewe maana inaonekana una ABC za huyo mama