Kama ilivoandikwa kwene mitandao ya kijamii tunatafuta watu au mtu atakae kua part of the invention.
sawa mi npo tayari kuwa pamoja nanyi so nafanyaje
Mtu huyu awe tayari kujitoa kufanya kazi kwa muda mwingi sanaaaa, sisi sio professionals kwahiyo usiwaze sana juu ya vyeti tunachotaka ni wewe kua tayari kufanya kazi kwa muda mrefu hata kama haitalipa mwanzo.
Ubunifu wa hali ya juu na kujitoa kiukweli ukweli, kwahiyo wakati unafikiria kujiunga ijulikane tu kua haitakua smooth ride bali ni kazi ngumu ya kusimamisha kitu kikubwa sana.