Espionage: Majasusi wa Mossad walivyoiba mkojo wa Rais Hafez Al-Assad wa Syria kwa kutumia choo cha bandia

Hivi wewe unajua maana ya SPIONAGE au unapayuka tu?? The Mossad Agents wakitaka mkojo hata wa Magufuli au wa kwako wanaupata sasa hivi.....kwa malengo wanayotaka wao!!!Ogopa sana Taifa la WATU WA MNGU.....!!!
Kwa sasa Tanzania wamesharudisha uhusiano na Israel lakini wakti huohuo wanaunga HARAKATI ZA WAPALESTINA.....tabia za upopo....Hapa ndipo mikojo na vinyesi ya watu kama Magufuli inapotafutwa kwa kutumia vyoo bandia ili wapate wanachokita.....!!
Watch out! Ukisikia MOSSAD AGENTS kaa mbali siyo watu wa mchezo mchezo!
Uwe unasoma comment na kuzielewa kabla hujakurupuka hovyo,sawa wewe myahudi wa Mburahati, hukuona question marks kwenye hizo hoja zangu? iko siku yahudi akija kwako basi utampisha aingie ndani kwako afanye anachokitaka sio? umejidharau sana kwa mahaba niue ya kijinga.
 
Hivi wewe unajua maana ya SPIONAGE au unapayuka tu?? The Mossad Agents wakitaka mkojo hata wa Magufuli au wa kwako wanaupata sasa hivi.....kwa malengo wanayotaka wao!!!Ogopa sana Taifa la WATU WA MNGU.....!!!
Kwa sasa Tanzania wamesharudisha uhusiano na Israel lakini wakti huohuo wanaunga HARAKATI ZA WAPALESTINA.....tabia za upopo....Hapa ndipo mikojo na vinyesi ya watu kama Magufuli inapotafutwa kwa kutumia vyoo bandia ili wapate wanachokita.....!!
Watch out! Ukisikia MOSSAD AGENTS kaa mbali siyo watu wa mchezo mchezo!
Taifa la watu wa Mungu?? Ina maana Tanzania ni taifa la mashetani ama?? Duh
 
Sasa cha ajabu ni nini hapo? kuiba mkojo au kuupima mkojo?
Mbona maabara nyingi tu zinapima mkojo? huo mkojo haukuchanganyika na maji huko chooni ilhali kulikua na bakuli moja tuu?
Ndo kawaida yao hawa kujipigia debe kwa vitu vya kawaida,sass wanataka sifa za kuiba vinyesi.
Castro nae wamarekani walidivert Bomba la choo kwenye chumba cha hotel I aliyofikia new York wakati anahudhuria mkutano wa UN.
Wakakwiba uharo wa Fidel,wakachunguza na kudai ni mgonjwa na atakufa Mda si mrefu,
Fidel akavuta miaka 60 zaidi
 
Hivi wewe unajua maana ya SPIONAGE au unapayuka tu?? The Mossad Agents wakitaka mkojo hata wa Magufuli au wa kwako wanaupata sasa hivi.....kwa malengo wanayotaka wao!!!Ogopa sana Taifa la WATU WA MNGU.....!!!
Kwa sasa Tanzania wamesharudisha uhusiano na Israel lakini wakti huohuo wanaunga HARAKATI ZA WAPALESTINA.....tabia za upopo....Hapa ndipo mikojo na vinyesi ya watu kama Magufuli inapotafutwa kwa kutumia vyoo bandia ili wapate wanachokita.....!!
Watch out! Ukisikia MOSSAD AGENTS kaa mbali siyo watu wa mchezo mchezo!
Kinachotakiwa ni pesa,na nia
Pesa inaweza kununua vitu vingi sana
 
Natamani kuwa mzalendo ila mazingira hayaruhusu....
Aisee mwanzoni nilidhani ni watu tu wame'fyatuka' akili. Ni kweli kuna baadhi ya watanzania wenzetu wanakatisha tamaa hasa vijana wasiwe wazalendo...ni kweli jambo hili. Yaani unakuta kuna mtu ana madaraka na anatakiwa kuwa 'mentor' mzuri kwa vijana namna ya kujishughulisha na kubuni vitu vya kukwamua jamii...lakini ni mtu huyo huyo anakuwa mstari wa mbele kumkwamisha kijana mchapa kazi, mbunifu na anayeipenda nchi yake. Kuna sehemu nilipita nikakuta mazingira haya...nikajua kumbe Mheshimiwa Rais Dk. Magufuli na watanzania kwa ujumla tunahujumiwa kwa namna nyingi na hujuma ya namna hii kiwemo. Kibaya zaidi, mtu huyo ni mtu wa kuenenda na matendo ya Bwana Yesu Kristo na Mtume Muhammad (S.A.S). Kuna kijana mmoja aligundua 'mtambo' ambao ungeendelezwa ungeisaidia jamii yetu ya Kitanzania, lakini 'mentor' huyu kagoma kumuunganisha kijana na wawekezaji wa hapa nchi...! Kwa sababu kijana ni mtu wa bidii na kutafuta mwenyewe kwa kukukuruka kapata 'prospective funder' kutoka Guine ya Ikweta na mambo kama yakiwa kama yalivyopangwa mwezi wa tatu mwakani kijana atatimiza ndoto zake...!

Kwa kuwa muda huu mpaka mwakani mwezi sita-saba nimebanwa. Mungu akipenda nikarudi kule...'yule mentor' naanza naye. Mungu nisaidie katika hili. Amen.
 
Aisee mwanzoni nilidhani ni watu tu wame'fyatuka' akili. Ni kweli kuna baadhi ya watanzania wenzetu wanakatisha tamaa hasa vijana wasiwe wazalendo...ni kweli jambo hili. Yaani unakuta kuna mtu ana madaraka na anatakiwa kuwa 'mentor' mzuri kwa vijana namna ya kujishughulisha na kubuni vitu vya kukwamua jamii...lakini ni mtu huyo huyo anakuwa mstari wa mbele kumkwamisha kijana mchapa kazi, mbunifu na anayeipenda nchi yake. Kuna sehemu nilipita nikakuta mazingira haya...nikajua kumbe Mheshimiwa Rais Dk. Magufuli anahujumiwa namna hii. Kibaya zaidi, mtu huyo ni mtu wa kuenenda na matendo ya Bwana Yesu Kristo na Mtume Muhammad (S.A.S). Kina kijana mmoja aligundua 'mtambo' amabo ungeelezwa ungeisaidia jamii yetu ya Kitanzania, lakini 'mentor' huyu kagoma kumuunganisha kijana na wawekezaji wa hapa nchi...! Kwa sababu kijana ni mtu wa bidii na kutafuta mwenyewe kwa kukukuruka kapata 'prospective funder' kutoka Guine ya Ikweta na mambo yakiwa kama yalivyopangwa mwezi wa tatu mwakani kijana atatimiza ndoto zake...!

Kwa kuwa muda huu mpaka mwakani mwezi sita saba nimebanwa. Mungu akipenda nikarudi kule...'yule mentor' naanza naye. Mungu nisaidie katika hili. Amen.
Kila la kheri utukumbuke katika ufalme wako.
 
nchi ya Jordan baada ya kurudisha maeneo kwa Israel walibaki wakimbizi WA Jordan ndani ya Israel Jordan ikawakataa wasirudi kwao Jordan ndio wakaamua waitwe wapalestina ndio ukawa mwanzo WA wapalestina. Na safari nyingine jina la palestina lilitumika Ni wakati rumi inatawala mashariki ya Kati ndio Hilo eneo wakalipa jina la palestina kabla ya hapo hakukuwa na jina la palestina ILA jina la Israel lilikuwapo tangu miaka 2000 BC.Jordan ikaamua kujenga uhusiiano na Israel maana Israel alikuwa jirani mwenye nguvu, Israel aliokoa Mara kadhaa ufalme WA Jordan kupinduliwa na wapinzani ndani ya Jordan ndipo urafiki WA Israel na Jordan ukazidi kuimarika . Eli Cohen alikuwa jasusi mahiri wa Israel aliyepenya mpaka sehemu nyeti za syria na kuchota siri za jeshi la syria hatua hizo zilichangia kiasi kikubwa ushindi wa vita ya 1967. Eli cohen alibadilisha jina na kuitwa jina la kiarabu( kisyria) na alizungumza kiarabu vizuri. warusi walikuja kumgundua akituma signal kwa siri israel , akanyongwa hadharani mjini damascus akawa shujaa wa israel(fallen warrior). Harakati bado zinaendelea kutafuta wapi alikozikwa ili mifupa yake irudishwe Israel kuzikwa .
 
Back
Top Bottom