Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 22,854
- 32,657

BREAKING: Mchana wa leo Yanga wamepokea ofa ya $1m (tsh 2,485,000,000) kutoka Espérance Sportive de Tunis,ili kumpata Mzize.De Tunis wanamtaka Mzize haraka sana,ila kama watamkosa basi watagonga hodi Simba kuulizia huduma ya Dese Mukwala.
Chaguo namba moja ni Mzize na chaguo namba mbili ni Mukwala.
Follow @usajili_na_hansrafael14
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
