Nawewe hauishiwi vituko,
Haya nami nitakaribia kwasababu tu ni siku ya valentne ila siku nyingine sikaribii kula konokono.
unataka kukwazwa...haya hebu njoo tule Konokono hapa mtaa wa pili
Habari zenu wana MMU!!!!!!
Napenda kuwatakia wote siku njema na yenye mafanikio,
tulilinde na kulitunza penzi letu vyema, kwa wale wenye ndoa na wasio na ndoa,
tuwe waaminifu katika mapenzi yetu, uvumilivu udumu na tongeze mapenzi maradufu
Upendo uwe ishara njema kati yetu.
View attachment 83118
Pia ningependa kuomba msamaha kwa yoyote yule niliyemkwaza,
Either kwa comment zangu/ thread zangu nilizopost
especial lara 1 maana tumekua tukikwazana mara kwa mara,
tusameheane ili tuishi vyema, tutoe tofauti zetu ili tuweze kusonga mbele
kwani kwa pamoja tutafika mbali.
View attachment 83115
HAPPY VALENTINE DAY
Milele amina mkuu....Pamoja sana,
mafanikio yawe katika maisha yenu,
kipato cha halali kipitie mikononi mwenu,
maneno ya busara yatoke midomoni mwenu,
upendo na amani utawale nyumba zenu.
I guess lara 1 hatokuwa na tatizo, valentine day imemkuta mzito vya kutosha.Habari zenu wana MMU!!!!!!
Napenda kuwatakia wote siku njema na yenye mafanikio,
tulilinde na kulitunza penzi letu vyema, kwa wale wenye ndoa na wasio na ndoa,
tuwe waaminifu katika mapenzi yetu, uvumilivu udumu na tongeze mapenzi maradufu
Upendo uwe ishara njema kati yetu.
View attachment 83118
Pia ningependa kuomba msamaha kwa yoyote yule niliyemkwaza,
Either kwa comment zangu/ thread zangu nilizopost
especial lara 1maana tumekua tukikwazana mara kwa mara,
tusameheane ili tuishi vyema, tutoe tofauti zetu ili tuweze kusonga mbele
kwani kwa pamoja tutafika mbali.
View attachment 83115
HAPPY VALENTINE DAY
Haya mkuu, mlo mwema.