Mi nabahatisha tu sina zaidi ya hii pesa. Nitumie picha
picha sinayo hapa kiongozi kwani nipo field na gari ipo nyumbani,nitachukua namba yako hapo ili nikutafute nikirudi.upo mkoa gani?Nitumie picha ya hiyo samurai
Ongeza hiyo mulla kifanyike kitu!!!!