Escrow

Escrow

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,904
Ruti mpya ya kutoka Tegeta escrow hadi kariakoo sasa yaanzishwa rasmi, hii ni mahususi kwa ajili ya kuienzi kamati ya PAC pamoja na Kafulila kwenye sakata hili la wizi wa fedha escrow.jpg
 
tuviongozi na hela zangu
 
Attachments

  • 1417073263396.jpg
    1417073263396.jpg
    44.6 KB · Views: 326
1794694_10152843048407482_994365213442390072_n.jpg

Hesabu kwa siku Nahitaji Bilioni 1.6! Kama wewe ni dereva mzuri na unahitaji Ajira hii, Fika katika Ofisi za IPTL, PAC, PAP, Jengo la Taifa, Dodoma Tanzania.

Wahi sasa nafasi ni chache...

Fotogenge...!!!!
 
Wamekuwa wajanja wakatoa plate number! La sivyo Muhonga anao! Cha msingi ujumbe umefika!
 
duh aiseee watu wanagawana hela kwenye mifuko ya rambo duh...............BRING BACK OUR MONEY

Sijui kama zitarudi mana maccm yoote wezi hakuna wa kumfunga mwenzie kengele na ndio mana wanakaa vikao vyao mpaka usiku wa manane kama wanga kujipanga jinsi ya kujibu mapigo ya ripoti sijui watanzania nani katuloga huu ndio wakati wa kuchinjia kuku baharini.
 
aliyetuloga kafa..
 
Ruti mpya ya kutoka Tegeta escrow hadi kariakoo sasa yaanzishwa rasmi, hii ni mahususi kwa ajili ya kuienzi kamati ya PAC pamoja na Kafulila kwenye sakata hili la wizi wa fedhaView attachment 206040
Umeshindwa kabisa ku-edit hiyo photoshop yako?
Huoni kama neno K/KOO limeandikwa kwa "font" za Arial wakati T/ESCROW lipo kwenye "font" za Times New Roman...
 
1794694_10152843048407482_994365213442390072_n.jpg

Hesabu kwa siku Nahitaji Bilioni 1.6! Kama wewe ni dereva mzuri na unahitaji Ajira hii, Fika katika Ofisi za IPTL, PAC, PAP, Jengo la Taifa, Dodoma Tanzania.

Wahi sasa nafasi ni chache...
Haaa nakuja mkuu nna experience nlianza kuendesha magari ya mabati nlivyokua mdogo hata ya mabua pia nko fiti hii hela si yakuachia
 
Back
Top Bottom