ESCROW: Werema anamjua "Bwana Mkubwa" anayeijua ESCROW

Huyu Werema hajastaafu tu? Si alitakiwa kustaafu a couple of days ago kisheria?

Au ni sound tu?
 
DSC05993.jpg
 
SOURCE: NIPASHE, November 23, 2014Kwenye front page ya gazeti hilo linaeleza kikao cha wabunge wa CCM ambao walishinikiza Jaji Werema ajiuzuru kwa uzembe wake wa kuidhinisha malipo ya ESCROW.Yeye aliwakatalia kwamba hatajiuzuru kwa sababu suala la ESCROW hata "bwana mkubwa analijua".Je, alikuwa na maana gani?
Ndio matokeo ya kuwachagua madalali kama wakuu wa nchi.
 
Inaitwa Tanganyika, ambayo Rasimu ya tume ya Jaji Warioba, walitaka kuturejeshea nchi yetu, lakini Katiba pendekezwa iliyoandikwa na mzee wa vijisenti Chenge, ambaye hivi karibuni alilamba 'bingo' ya bilionea Ruge, baada ya 'kumrushia' kwenye account yake shilingi milioni elfu moja na mia sita[1.6 billions TShs]

Mzee huyo wa vijisenti akisaidiana na wanaccm wenzie, ambao majuzi, waliwatetetea kwa udi na uvumba,mafisadi waliokwapua bilioni 321 za Escrow, timu hiyo ya wanaccm, wameidelete Tanganyika, kwenye katiba pendekezwa ya watawala wa CCM!

wewe ndo umenipa jibu, nakupongezaa sana.
 
Back
Top Bottom