Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,031
- 74,724
Tayari katangaza Kujiuzulu.
Aliyekua Waziri wa Nishati na madini Sospeter Muhongo Amejiuzulu Wadhifa wake wa Uwaziri Katika mkutano wake wa waandishi wa habari alio uitisha.
Hilo tulishajua kuwa atafanya, lakini sababu alizotoa yeye ni nini? Na kwa nini awali alikataa? Hicho ndio tunasubiri kufahamu