Chuma Chakavu
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 1,523
- 655
Hata ile kauli yake ya wapigwe tu, maana wametuchosha!! Hiyo nayo inatosha kuachia ngazi.
PAC hawakuonyesha kwanini wanasema pesa ni za umma. Waache upande mwingine ujitetee.
PAC wame-rely kwa mkurugenzi wa TAKURURU.
Kiuchunguzi ilibidi aseme ni za serikali, lakini CAG na TRA wameongea kitaalam kuwa kuna element ya kodi, ambayo ni mali ya umma.
PAC wangechukua maelezo ya CAG na TRA
Mwenzie EL aliachia ngazi katika mazingira rafiki kuliko haya ya kwake. Pia ofisi yake kwenda kufungua kesi kuzuia bunge lisifanye kazi yake ni dosari kubwa zaidi.Kuna taarifa kwamba Pinder amewapanga wabunge kadhaa (majina kapuni) wamtetee bungeni leo ili asiende na maji. Kwa kufanikisha utetezi wao wanadai kwamba Pinder hajahusika yeye binafsi katika ufisadi huu bali ni watendaji wa chini yake ndio wanapaswa kuchukuliwa hatua.
Kete ya pili wanayotumia 'watetezi' hawa ni kwamba ikiwa Pinder alihusika kwenye ufisadi huu basi asingeagiza uchunguzi ufanyike. So the guy is clean and innocent.
Aidha, kuna timu kubwa imetumwa kumtetea Pinder kwenye social media, hasa JF, kwa lengo la kuupotosha umma na kuwafanya wananchi wasadiki kwamba Pinder anaonewa bure.
Kisingizio kingine kitakachotumiwa kumsafisha ni uwepo wa makundi ya urais, 2015 yanayochafuana.
Anyway, ngoja tusubiri tuone hao vibaraka wake wamejipangaje kumtetea kwa kuwa naona kama wanatumia hoja mfu kumsafisha mtu ambaye amechafuka kiasi cha kutosafishika tena. Mbivu na mbichi tutazipata leo bungeni wakati utetezi wa serikali (utakaotolewa na Pinder mwenyewe) utakaporindima.
Nawasilisha
:israel:
Hizo ni conclusions za PAC.Wote unaowataja wanaishia kwenye mwisho mmoja, kuwa waliotajwa wamehusika kushawishi, matumizi mabaya ya ofisi, kutofuata taratibu au uzembe kazini na yote haya hayawaachi salama!!!
Hata wewe unakuja na hoja marehemu hapo hakuna kupanga ngoja ukweli uchukue mkondo wake....Mzee Pinda yuko vizuri....ni ukweli usiopingika kuwa Pinda ni kati ya PMs waadilifu na waelewa ukimtoa Mzee wetu late Moringe S....tusubili...

PM ukisikiliza na kama ukiisoma ripoti hajashiriki kupiga deal, bali ameshauriwa kuwajibika kisiasa. Naona PCCB na CAG wamefanyakaz yao vema. Na hata PAC wmefanyakaz vema. Na kujiridhisha ni kuwa Gavana wa BoT na Wakuu wa TRA kwenye mapendekezo hawajaguswa, hivyo wako clean, ikiashiria kuwa ueledi ulitumika katika ukusanyaji wa Taarifa iliyopelekea kupata ripoti ile ya PAC!
Shida nikwamba,sisi mitandaoni na baadh ya vijana ndo hatumtaki huyu bwana.
Lakini,nyuka ya pazia jamaa(#pinda) anawatu Lukuki wanamhîtaji mno. Kuna wakulima,wafugaji,wavuvi & idadi ndogo ya wafanyabiashara.
#MY_TAKE ,
Huyu jamaa hachafuki kirahisi kwakweli. unless tuwaombe kina Lowasa wakate buti hukohuko mjengoni. Vinginevyo,sijui!!!!!!
Pinder ndio nani tena?
Pinda ana hukumiwa kwa nafasi yake ya PM kama mtendaji mkuu wa serikali alikua na nafasi ya kuzuia wizi huu mkubwa but alikua wapi? tena kanukuliwa akisema "IPTL deal is clean" na pesa za tgt escrow si za "umma" what does it mean? huu ni uzeme kazini na mistake kama hizi ndizo zilizo mcost EL......pinda aka pumzike tu amekula vya kutosha.
Kuna taarifa kwamba Pinder amewapanga wabunge kadhaa (majina kapuni) wamtetee bungeni leo ili asiende na maji. Kwa kufanikisha utetezi wao wanadai kwamba Pinder hajahusika yeye binafsi katika ufisadi huu bali ni watendaji wa chini yake ndio wanapaswa kuchukuliwa hatua.