ESCROW scandal: Pinda apata watetezi

moja ya wana timu ameshajitokeza tayari
 

Labda jamaa wa escrow walimtishia maisha akaogopa, siunajua suala la maisha ni la mtu binafsi na halina baunsa?
 

Utakuwa umemuwajibisha au umekidhi matakwa ya wahisani?
 
Hili peke yake linatosha kabisa kufanya ajiuzulu... SAWA, hakuhusika lakini ni sawa na kusema ameshindwa kuwasimamia watendaji wa chini yake! This alone stamps him as IRRESPONSIBLE PM, the reason enough for him to go!!!
Kete ya pili wanayotumia 'watetezi' hawa ni kwamba ikiwa Pinder alihusika kwenye ufisadi huu basi asingeagiza uchunguzi ufanyike. So the guy is clean and innocent.
Kwenye masuala ya ukachero hii inaitwa kutengeneza alibi... kwamba, "ingekuwa mimi ndo nimembaka huyo mtoto basi nisingekuja kutoa taarifa polisi kwamba mtoto amebakwa" Only fools can be played with this shit and nonsense excuse!
Aidha, kuna timu kubwa imetumwa kumtetea Pinder kwenye social media, hasa JF, kwa lengo la kuupotosha umma na kuwafanya wananchi wasadiki kwamba Pinder anaonewa bure.
Ikiwa PInda mwenyewe tulishajua kwamba anatupiga magirini hata baada ya kuangua kiliko bungeni, itakuja kuwa kutumia mamluki... kama kweli anaonewa, tumuone akilia tena bungeni, alah!
Kisingizio kingine kitakachotumiwa kumsafisha ni uwepo wa makundi ya urais, 2015 yanayochafuana.
Ndiyo akome na kimbelembele chake... anafikiri Braza Ben aliyesema bado hajaoteshwa ni boya? Angalau vibaraka wake wa hapa JF tushawajua... kama ana ubavu, aombe airtime hapa JF tumtwange miswali... kwanza, I bet maswali ya hapo hapo leo moja wapo ni kutoak kwa Habib Mnyaa ambae atauliza: "Mheshimiwa Waziri Mkuu, Kamati ya PAC imejiridhisha kabisa kwamba hukutekeleza wajibu wako ipasavyo ama kwa makusudi au kwa kufahamu! Je, Mheshimiwa Waziri Mkuu huoni ni busara kwako ukiutangazia umma muda huu kwamba unajihudhuru?"
 
Kutumika umeme hakutoi uhalali wa pesa za walipa kodi zaidi ya bilioni 300 kuibiwa na kisha wahuni, wezi na mafisadi kugawana.

#BringBackOurMoney

Na umeme uliotumika umeanguka kutoka mbinguni? We vipi?
 
Labda alie tena. Hata hivo hasameheki jambazi mkubwa yule. Na yy apigwe tu sura km wasira. Miccm na profesa tezi dume inaniuzi sn.
3.36bil transfered to various persons
 
Kutumika umeme hakutoi uhalali wa pesa za walipa kodi zaidi ya bilioni 300 kuibiwa na kisha wahuni, wezi na mafisadi kugawana.

#BringBackOurMoney
Zingetumika bilioni ngapi? Na angelipwa nani?
 

Sina hakika kama uko sahihi kwenye red bold. Kama Pinda ndiye alitoa maagizo ya uchunguzi kufanyika, kwa nini matokeo ya uchunguzi yapelekwe bungeni?? Kwa kumbukumbu zangu, bunge liliamuru uchunguzi huo ufanyike, na ndiyo maana hata kale ka-memo kutoka mahakamani kaligonga ukuta pale Idodomya.
 

Mwizi tuuu na yy
 
Reactions: BAK
Pinda ndo mwenye hatia namba Mona. Yeye ndio anaewasimamia wote hao.
anawajibika kutokana na uzembe kwakushindwa kusimamia ofisi mpaka kukatokea upotevu mkubwa wote huo wa Pesa za uma.
 
Mbona tunahangaika kwa upande wa Pinda ni suala la collective responsibility hajafanya yy ila mawaziri wake wapo waliofanya. Hata akitetewa suala la collective responsibility linamuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…