ESCROW: NYARAKA ZA DAVID KAFULILA ALIPEWA NA ZITTO ZUBERI KABWE AU RICHARD MGAMBA?

chuuma

JF-Expert Member
May 19, 2015
353
1,000
Mwaka2015, kwenye moja ya habari kubwa gazeti la Mwananchi, KAFULILA alipohojiwa kuhusu source wa hoja na nyaraka zake alimtaja Richard Mgamba, ambaye sasa ni Mhariri wa GUARDIAN wakati huo akiwa CITIZEN, Jana bandiko reefu la Zitto amesema ni yeye. Tunashindwa kujua source wakweli wa taarifa alizotumia Mhe KAFULILA kulipua bungeni alikuwa ni Zitto au Mgamba?
 
NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
27,895
2,000
Kwani kuna "tuzo" kwa huyo ambaye ndie mtu halali aliyempa Kafulila hizo nyaraka?
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,150
2,000
Kinacho matter ni nyaraka na ukweli wa nyaraka hizo,masuala nani alimpa itajulikana baadae kama kuna ulazima
 
Marlex Jr El

JF-Expert Member
Nov 6, 2015
1,794
2,000
Aliye mpa ni mbunge mmoja toka CCM yupo bungeni hadi leo, sifa yake moja uwa achangii bungeni ni mzee kiumri kuliko wote mjengoni pale.
 
Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
9,067
2,000
Haina haja mkuu. Kwanza kesi yenyewe ya escrow ishakufa kifo cha mende. Maana mkulu ana allergy na majina ya Ben na Kikwete, na Singh na Ruge wanalijua hilo. Hivyo wakifika mahakamani watayataja sana majina hayo ili mkulu apate kichefuchefu na kuamuru kuifutilia mbali kesi
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
41,288
2,000
Mwaka2015, kwenye moja ya habari kubwa gazeti la Mwananchi, KAFULILA alipohojiwa kuhusu source wa hoja na nyaraka zake alimtaja Richard Mgamba, ambaye sasa ni Mhariri wa GUARDIAN wakati huo akiwa CITIZEN, Jana bandiko reefu la Zitto amesema ni yeye. Tunashindwa kujua source wakweli wa taarifa alizotumia Mhe KAFULILA kulipua bungeni alikuwa ni Zitto au Mgamba?
Kama ni kweli umesoma waraka wa Zitto na hujamuelewa Zitto basi hili Taifa limejaa vichaa, sasa ile article Zitto angeandika kwa kingereza ingekuwaje?

Ndio maana waswshili waswahili wote mnapitwa na mengi na mpaka leo hamjui mchango wa gazeti la The Citizens kupambana na ufisadi.

Endeleeni kusoma magazeti ya Shigongo nadhani habari za Wema, zari na Diamonds ndio unaweza kuzielewa vizuri kwenye magazeti yenu pendwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom