escraw nyingine hii hapa: MABILLION YA KIKWETE

SONGOKA

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
1,836
Reaction score
1,846
JK ndo muasisi wa kugawa mabillion hapa nchini , Seth na Rugemarila wameiga tu.Kabla Kikwete hajaondoka, Tunamuomba CAG mpya afanye ukaguzi wa zile pesa za UMMA zilizopewa jina la MABILLION YA KIKWETE, ili tufahau yafuatayo

  1. Je wanufaika walikuwa ni kina nani? kwa majina
  2. Jumla ni mabillioni kiasi gani waligawiana (naskia ni zaidi ya bill 60)?
  3. Je wamerejesha kiasi gani mpaka sasa
  4. je utaratibu ulifuatwa katika zoezi hili (vigezo na masharti)

nawahakikishia mtabaki midomo wazi
 
JK aligawa hela ya umma kama asante, atajibu muda wa tume ya uwazi na ukweli ikianza kazi, mwache ale bata leo wakati waharifu ndo viongozi ipo siku uongozi utarudi kwa watu wenye maadili, siku hizo kila wizi wa mali ya umma utahojiwa na majibu itakuwa shuruti kwa mujibu wa sheria.
 
hizi pesa waligawiana kama kunde mkuu, na tatizo la kunde lazima baadaye mashuzi tutayaskia. Na mashuzi tuliyaskia kweli, mara oil company, mara hotel, mara ma vogue kila mtaa . CAG achunguze hii mkuu.
 
kimsingi nitaanza kukusanya sahihi za wananchi ili kumshawishi CAG kufanya zoezi hili kabla ya October 2015
 
Huyo CAG mwenyewe ana mali nyingi kinyume na kipato chake Harisi hata yeye mwenyewe akichunguzwa lazima atakutwa na hatia, Nchi hii hakuna aliye Msaafi kiasi cha kumnyooshea mwenzake kidole, Wakiletwa FBI waje kuchunguza kila Kiongozi hapa Tz wote wataishia jela.
 
kimsingi nitaanza kukusanya sahihi za wananchi ili kumshawishi CAG kufanya zoezi hili kabla ya October 2015

Rostam ameuza shea zake voda kwa dola 240 hakulipa kodi Mkono amekuwa akilipwa mapesa na Serikali kwa miaka mingi lakini halipi kodi huku Rafiki yake Mengi naye akiwa halipi kodi Stahiki kulingana na mapato yake, huku akitumia Pesa nyingi kumng'oa Mhongo kwa masilahi yake binafsi na wananchi wanamwonea Huruma pasipo kujua kuwa na yeye ni wale wale, Nchi hii hakuna aliye Msaafi kiasi cha kumnyooshea mwenzake kidole.
 
Kama kila mahali pamechafuka lazima tuamue pa kuanzia kusafisha ili tukae pasafi.
Ni mawazo potofu kuandika kuwa hakuna aliye msafi bila kupendekeza njia ya kusafisha au kuwaondoa hao wachafu.
 
Hapa Tz ni mwendo wa Kupiga kila kona hata hao wapigaji nao huwa wanapigwa na wapigaji wadogo ikiwemo Michepuko ambayo mingi huvuna mapesa mengi kuliko hata familia zao.
 
Kama kila mahali pamechafuka lazima tuamue pa kuanzia kusafisha ili tukae pasafi.
Ni mawazo potofu kuandika kuwa hakuna aliye msafi bila kupendekeza njia ya kusafisha au kuwaondoa hao wachafu.

Kazi inaanza pale kwa yule anayepaswa kusafisha naye ana yake , labda Viongozi wote wajiuzulu alafu tupate Viongozi wenye mbinu kama za China za kuwanyoosha wale kuhujumu mali za Umma.
 
hizi pesa waligawiana kama kunde mkuu, na tatizo la kunde lazima baadaye mashuzi tutayaskia. Na mashuzi tuliyaskia kweli, mara oil company, mara hotel, mara ma vogue kila mtaa . CAG achunguze hii mkuu.

Nchi hii nani amchunguze nani? Kwani huyo mchunguzaji naye akichunguzwa na FBI atakutwa na mali ambazo ni kinyume na kipato chake, huyo CAG mwenyewe akichunguzwa lazima utasikia Maajabu.
 
kwa hiyo unataka kusema kuwa kuanzia sasa auditing zisifanyike?
note:FBI wanashughulikia mambo ya ndani ya marekani,so maybe CIA ndo wanaweza kusaidia.
 
Duuh mabilioni ya JK tulishayasahau aisee. ni kweli inabidi wanufaika tuwajue na utaratibu wake tuujue. kwa nini mabilioni ya Ruge yameleta shida, mabilioni ya kikwete yawe poa tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom