Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,334
- 68,404
Jana nikiwa nashuhudia Kuapishwa kwa Rais wa awamu ya 5, niliona kuna misafara ikiwa na magari ya walinzi. Baadhi ya magari hayo ya walinzi yaliandikwa Escort 1.
Baadhi ya misafara mingine magari ya walinzi yaliandikwa Escort 2 yaani E 2.
Je tofauti yao ni nini kati ya Escort 1, 2 na 3?
Baadhi ya misafara mingine magari ya walinzi yaliandikwa Escort 2 yaani E 2.
Je tofauti yao ni nini kati ya Escort 1, 2 na 3?