Esau: kuelekea uchaguzi mkuu tuanzishe madawati ya uthibitishaji habari

Esau: kuelekea uchaguzi mkuu tuanzishe madawati ya uthibitishaji habari

JamiiCheck

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
213
Reaction score
226
Akiwasilisha mchango wake katika mkutano wa wadau wa sekta ya habari na utangazaji kanda ya mashariki kuelekea uchaguzi mkuu 2025, Esau Ng'umbi, alishauri kuanzishwa kwa madawati ya uthibitishaji wa taarifa ili kukabiliana na taarifa potofu kipindi.

Kumbuka katika kipindi cha uchaguzi taarifa sahihi pekee ndiyo zitakazowawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi, hivyo ni muhimu kuwa tayari kuzuia upotoshaji wakati wote.

 
Back
Top Bottom