Errors in genesis

unajua wataalam wanasema kusoma sana hupunguza maharifa ndicho nacho kiona

Wataalam ndiyo wamekwambia Hivyo?

Lakini wataalam pia ni wasomi sana,kwa Maana hiyo Basi,Hata wao wenyewe wamepungukiwa na Maarifa

sasa kwanini unawaamini watu waliyo pungukiwa na Maarifa?
 
In Genesis story of Creation,Nothing is Neither Far-fetched nor Extraordinary.
In fact,There is no Need of Modern science to Explain Errors of those Events

Simple classical science Alone is Enough to prove the whole Account Wrong.

So, the story of creation as narrated by the bible isn't true?
 
Ni logic, but u cant apply it simply coz unalinganisha vitu viwili vyenye ideology tofauti. Utabaki kujichanganya na kuona uongo kutokea hapo.
The creator create everything from his own perspective simply coz he z able. First of all remember that himself is a light, and from the very begining universe was lonely and dark.
 
Uumbaji huanzia kwenye mind, mfano wew unaweza sema kesho kutwa nitajenga Banda la kuku lenye madirisha matatu, mlango mkubwa na tiles chini na ilipofika hyo kesho kutwa ukajenga hvo hvo ulivyotaamka, so uumbaji uanzia ndani kwahyo Haina maana cku ambayo mungu alitamka iwe nuru na giza basi vilikuwa siku hyo hyo apo alikuwa anafanya uumbaji na uumbaji unaanzia ndani kwenye mind.
 
Mashambulizi juu ya biblia yameongezeka sana kipindi hiki...ni nini maana yake?!
 
Kwanza ulitakiwa ujiulize na kujua kuwa Mungu Muumba yupo ndani ya dunia au nje?
Kwa maana aliye nje ya dunia hesabu zake za siku haziwezi kuwa sawa na hesabu za dunian.
 
Mkuu mimi binafsi nilishawahi kufanya kazi madhabauni kwa kipindi fulani, hivyo haya mambo yako tofauti sana na wengi wanavyodhani sema ndo hivyo hawaambiliki nabaki nawaangalia tu maana wengi ni wakristo wa jumapili
Umerudi nyuma mrudie Jehovah atakurudia tu.
 
huu uzi una bahati ulianzishwa kipind sijaanza harakat zangu za kupinga dini na kuonesha makosa yake, anyway biblia&quran ni 10% ndyo ukwel, 90% zinazobaki nibstori za uongo za kutungwa, na zingne stori za waganga na wanajimu wa afrika walioibiwa historia yao na kuingizwa ktk vitabu vyao vitukufu na kuwaota watu hao manabii,makuhani, na mitume, but behind the scene hawo hawakuwa tofaut na hawa machief wa kileo mnaowaita washirikina, yaan hao kina musa, samson,ayubu, petro, eliya, walkuwa waganga na machief wa kiafrika, lkn uzush na wivu wa mtu mweupe akachange history kwa kubadr majina na location za matukio yao kwa kuwapa stot za uongo uko baran asia, na middle east...... kuna wale watetez wa dini hawa nikikutana nao lazma wabadr njia maana natumia vitabu vyao kuwaumbua
 
Hata binadamu aliumbwa kwanza ndipo akapuliziwa pumzi ya uhai.
So mmea ulianza ndipo yakafuata mahitaji yake. Usituchanganye bana.
Kwani mtu ananunua mafuta ndipo ije gari,au mahita/matumizi ya gari ndo huwa sababu ya mtu kuhitaji mafuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ