Kwa Mujibu wa maelezo uliyoyatowa inaonyesha hiyo (Software) unayojaribu Kuiweka kwenye hiyo Computer yako haikubaliani na hiyo ( Windows Vista, 64-bit operating System (Home Premium) kwa Ushauri wangu jaribu kuitowa hiyo WindowsHabari wana IT.
Natumia Windows Vista, 64-bit operating System (Home Premium), nimepata tatizo wakati nainstall software (ni muhimu sana kwa ajili ya thesis yangu). Napata error message hii.
The version of this file is not compatible with the version of windows youre running. Check your computers system information to see whether you need an x86(32-bit) or x64(64-bit) version of the program, and then contact the software publisher.
Nimejaribu kutafuta solution kwenye mtandao sijafanikiwa, zote ambazo nimeziona kwenye mtandao zimeshindwa kufanikisha.
Naomba msaada wenu wana JF kwani nimeshindwa kuendelea na hiyo assignment na ni hiyo software pekee inaweza kufanikisha hiyo assignment(i.e kufanya simulation).
Thank you in advance
Habari wana IT.
Natumia Windows Vista, 64-bit operating System (Home Premium), nimepata tatizo wakati nainstall software (ni muhimu sana kwa ajili ya thesis yangu). Napata error message hii.
The version of this file is not compatible with the version of windows you're running. Check your computer's system information to see whether you need an x86(32-bit) or x64(64-bit) version of the program, and then contact the software publisher.
Nimejaribu kutafuta solution kwenye mtandao sijafanikiwa, zote ambazo nimeziona kwenye mtandao zimeshindwa kufanikisha.
Naomba msaada wenu wana JF kwani nimeshindwa kuendelea na hiyo assignment na ni hiyo software pekee inaweza kufanikisha hiyo assignment(i.e kufanya simulation).
Thank you in advance
Kwa Mujibu wa maelezo uliyoyatowa inaonyesha hiyo (Software) unayojaribu Kuiweka kwenye hiyo Computer yako haikubaliani na hiyo ( Windows Vista, 64-bit operating System (Home Premium) kwa Ushauri wangu jaribu kuitowa hiyo Windows
Vista, 64-bit operating System (Home Premium) na kuiweka Windows Vista, 32-bit operating System (Home Premium) itakuwa umeweza kutatuwa hayo matatizo yako ingawa hukutuambia ni (Software) gani unayojaribu kuiweka kisha inakataa kufanya kazi.?
Jina la hiyo software unayo install itasaidia kujua zaidi kwa nini haipo compatible na hiyo Vista 64-bit. Ila pia Window Vista mara nyingi inasumbua sana kama unaweza tumia OS nyingine kama vile Window 7.
Nawashukuru wote kwa majibu yenu.
Software nayotaka kuinstall inaitwa C.A.MAN inapatikana Software C
Tatizo kubwa zaidi ambalo nitaliface baada ya kuitoa hiyo Vista, 64-bit operating System (Home Premium) na kuweka Windows Vista, 32-bit operating System (Home Premium) ni kupoteza program nyingine zote ambazo tayari zimo kwenye laptop yangu ambazo kwa kweli zilini cost sana kuzipata (mfano software kama SAS). Hakuna njia nyingine ya kuweza kuchakachukua mbali ya hiyo uliyonishauri? ili niweze kutatua tatizo hili.
Asante sana na weekend njema
PIa unaweza kujaribu option inaitwa DOSBox. Hiyo inakuwezesha kutumia DOs based program kwenye window Vista au seve hata iwe ni 64
Nimeadika hivi baada ya kusoma hapa 16 BIT MS DOS PROGRAM IN VISTA
Unaweza kuipakua DOSBox hapa DOSBox, an x86 emulator with DOS
Maelezo mengine ya DosBox unaweza kusoma hapa kujua ni namna gani inaweza kukusaidia Basic Setup and Installation of DosBox - DOSBoxWiki
Ndugu Mtazamaji na wana JF
Napenda kutoa shukurani zangu kwenu nyote kwa kutumia muda wenu na hatimaye kuweza kunisaidia kupata solution ya tatizo nililokuwa nalo.
Kwa sasa nimeweza kuinstall hiyo software kwa kufuata hayo maelezeko ya ndugu mtazamaji.
Kwa pamoja nawashukuru sana na mbarikiwe.
Tupo pamoja