Error katika ku-restore iPhone 3gs "could not be restored. An unknown error occurred(1015)"

Error katika ku-restore iPhone 3gs "could not be restored. An unknown error occurred(1015)"

unaRestore Computer Backed Up data au unaRestore IOS Firmware? Ongeza maelezo,,
 
screen inakakaahivi wakati wa kurestore nimejaribu njia nying kana dfu,jailbreak et.. msaada jamani frozen-iphone.jpg
 
mkuu ukimaanisha iOs? yaani nimeshatest nyingi hizi au, msaada wako tutorial
 
bado comrade

Download IOS 6.1.3 ya iPhone 3GS hapa ( http://www.ipswdownloader.com/ ) alafu update itunes kwenye computer yako baada ya hapo chomeka simu kwenye computer, press and hold shift button alafu click Restore..chagua file ulilodownload then ok to restore,,
 
Download IOS 6.1.3 ya iPhone 3GS hapa ( Download Firmware (IPSW) Files for iOS Devices ) alafu update itunes kwenye computer yako baada ya hapo chomeka simu kwenye computer, press and hold shift button alafu click Restore..chagua file ulilodownload then ok to restore,,

nisha download (iPhone1,2_4.2.1_8C148_Restore) ambayo ndo mpya ya 3g inafail hatua za mwisho katika ku-veryfing firmware
 
wakati ikinstall firmware inafail na ikileta text hiicapture-20121203-153708.png
 
wakati ikinstall firmware inafail na ikileta text hiiView attachment 133957
Kama unatumia iPhone 3g usiRestore kwa iTunes. Download Redsn0w 0.9.15b3 ufanye Restore, nenda 'Extras-Even More-Restore,, Download na Application inaitwa 'iFaith' ili upate blobs za ios 6.1.3 za simu yako then ziambatanishe kwenye redsn0w wakati ukiRestore. Hii ndio njia rahisi!!
( https://sites.google.com/a/iphone-dev.com/files/home/redsn0w_win_0.9.15b3.zip?attredirects=0 )
 
Back
Top Bottom