Jayfour_King
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 1,135
- 131
Windows cannot Install required files.Make sure all files required for installation are available,and restart installation. Error code:0x80070522.
Maelezo:
Ninapata message hii ninapotaka ku install win7 kwenye machine ambayo ina WinXp sp3 nimejaribu mara kibao win7 pro imekataa, nikajaribu win7 ultimate pia imekataa kila inapomaliza kukopi installation files inapoanza tu expanding windows files ndipo inatoa hiyo message ambayo nimeitumia kama title ya thread hii.
Msaada tafadhali na ninatanguliza shukurani.