Errol Spence amtandika kikatili Yordenis Ugas, amtaka Terence Crawford kumaliza ubishi

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,456
21,167
Bondia Errol Spence Jr (The truth) amefanikiwa kumtwanga vilivyo Yordenis Ugas kwa T.K.O round ya 10 na kufanikiwa kuunganisha mikanda ya WBA, WBC na IBF amebakisha mkanda mmoja tu wa WBO ambao unashikiliwa na Terence Crawford ili awe Undisputed Welterweight Champion.

Error Spence hakuishia hapo tu bali alimuita Terence Crawford (Bud) ili wamalize utata kati yao nani ni bora zaidi.

Bud alirespond kwa kumpongeza na kumtaka awamu hii asitafute visingizio pambano kati yao lifanyike.

Ikumbukwe kabla ya Errol Spence hajapigana na Yordenis Ugas ilibidi apambane na Manny Pacquiao ila pambano halikuwezekana kutokana na Errol Spence kupata ajali na hivyo pambano likawekwa kati ya Yordenis Ugas na Manny Pacquiao na Yordenis akafanikiwa kumsambaratisha vipande vipande Manny Pacquiao na kumstaafisha kabisa.

Pambano la Error Spence na Crawford kama litafanyika bila shaka litavunja na kuweka rekodi mpya mbalimbali.

Screenshot_20220417-102842_1.jpg

Screenshot_20220417-093822_1.jpg

Screenshot_20220417-093652_1.jpg
 
Crawford atampigia Spence kwa akili sana, he is very very talented, gifted, genius boxer, and he hit very fast, hard with 100% accuracy, Errol will be defeated by T.K.O in round 7 or 8..
Ukitaka kujua angalia Errol vs Kell Brook alafu angalia Crawford vs Kell Brook

Kama ww unafuatilia ngumi vema, utajua Bud ni boxer tofauti sana katika uzito wake karne hii
 
Ngoja tuone, karata yangu ninampa Error Spence
 
Crawford atampigia Spence kwa akili sana, he is very very talented, gifted, genius boxer, and he hit very fast, hard with 100% accuracy, Errol will be defeated by T.K.O in round 7 or 8..
Ukitaka kujua angalia Errol vs Kell Brook alafu angalia Crawford vs Kell Brook

Kama ww unafuatilia ngumi vema, utajua Bud ni boxer tofauti sana katika uzito wake karne hii
Umemtaja kell brook nikamkumbuka yule mtafsiri wa mwakinyo alivyokiwa anavutia vutia pambano na Kelly, mwakinyo anaonhea kingine yeye anazungumza kingine, jamaa alileta uDUDE pale.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom