erolink

erolink

kuku87

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
1,220
Reaction score
296
jamani nimepigiwa simu ya interview na erolink hata sikumbuki niliomba post gani na wala sijui nafikaje wameniambia wako masaki, kabla sijauliza yote hayo simu ilishakatwa na kujaribu kupiga nikaambiwa inatumika naomba kama kuna mtu amepigiwa anisaidie kuniambia ni post gani na ni sehemu gani masaki
 
Wewe kama ulipeleka CV ama ulituma CV online ukishafika watakufanyia interview ya kujua kama unajitambua then wanakuambia kuwa CV yako wataipeleka kwa client kama akitokea kwa hiyo usije ukavunja kabati bure ndugu yangu,mimi mwenyewe washaniita kama miezi miwili imepita nikafanya nao bado nasubiri
 
jamani mi naomba email adress yao hao erolink,nft spanko,au lotus africa
 
Back
Top Bottom