Adebisi,
Kwanza kabisa huyo ndugu yako ameajiriwa na Erolink na vetting yake yote inafanywa na Erolink, NBC ameingia mkataba na Erolink, vile vile sio sehemu zote Bank hawa temporary wana access nako. Sehemu nyingine kuna supervisory module ama dual control. Kwa haraka haraka hapa NBC amepeleka risk kubwa kwa Erolink. Chotechote kikitokea hapo lazima Erolink alipe, hivyo ni jukumu lake kufanya vetting nzuri na ya uhakika zaidi.