Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Kibamba Ernest Mgawe amesema ajenda ya No reforms no Election imeitikisa serikali bila kupepesa, lakini watu wanaibeza ajenda hii lakini mimi niwapongeze viongozi wangu wa chama kuendelea kuisimamia