The secretary nakupa dakika tano uwe umekanusha haya maneno na kutoa onyo kali kwa huyu bazazi Erickb52.......naanza kuhesabu moja,mbili,tatu......
Hahahaaa mwache anasema aloyasema mkeo The secretaryunalipwa sh ngapi kwa kazi hii Mzee?
Hana lolote anachonganisha na wewe vaa sura ya chuma bwana mbona mie nimevaa sura ya mbuzi sisikii wala sioni kwakoThe secretary nakupa dakika tano uwe umekanusha haya maneno na kutoa onyo kali kwa huyu bazazi Erickb52.......naanza kuhesabu moja,mbili,tatu......
Hahahaaa mwache anasema aloyasema mkeo The secretary
Kwanza nataka kuja kumchukua mwanangu nimlee mwenyewe
Hayakuhusu
Hayakuhusu
Mtasema yote hata kabla ya kuulizwa.
ukweli unauma!!!!!