KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
Shauri yake...ujana ale na kina The secretary, uzee ndo anitafute...aka mimi
Alafu aje akuache mjane....ya nini?
Shauri yake...ujana ale na kina The secretary, uzee ndo anitafute...aka mimi
kila siku mi nasema
ndoa imara huku ni ya ruttashobolwa
na my akanana wake tu,nyingine zoote kizunguzungu!!
pole sana Chocs bora ungekuaga sister tu kuliko kuolewa na eriki
Hata yangu? Na ya wazazi wako je?
Karama zingine zinahitaji moyo wa ziada!!
He hee...akafie mbeleAlafu aje akuache mjane....ya nini?