Erick Kabendera: Will I be safe or I may end in the prison tomorrow?

Erick Kabendera: Will I be safe or I may end in the prison tomorrow?

Hivi ulisoma maandiko yake?Yaani yeye alikuwa anachambua hotuba za Rais na kutukana.Wala hana uchunguzi wowote.Yaani kama unatoa mhanga kwa kucritisize hotuba za Mukulu ili hali wewe una makando ni upumbavu.
The offences he has been charged with are centered at three; leading organised crime, failing to pay tax and money laundering. I face some difficulties to understand exactly what you've been stressing out here. It at all, hizo articles unazoziimbia mashairi humu on every comment ndio tatizo, why aren't they included on charges formed against him ? Who's telling the truth here ?
 
Jifunze kufikiria nje ya box. Ukiona film kwenye television yako jua kuwa wakati wa maandalizi ya film kuna vitu vingi mno vilifanyika ambavyo wewe hutaviona milele.
Nataka tu nikuambie hivi kuna kitu kakifanya ndo maana waka weka jicho kwake hadi kufikia kumsearch na kumkagua na kumkuta na hayo makando ambayo ni kinyume cha sharia.
Jifunze kufikiria nje ya box.
 
In that sense you're telling us you're full aware of the behind the scene scripts na hicho ndo umekuwa ukiimba on every comment. Nimefikiria nje ya box.
 
In that sense you're telling us you're full aware of the behind the scene scripts na hicho ndo umekuwa ukiimba on every comment. Nimefikiria nje ya box.
Yap,asingefanya hicho alichofanya wala hakuna mtu angekeep an eye on him hadi kuchunguza privacy yake. Na kumkuta Na Hayo makundo aloshitakiwa nayo.
 
Where is Khashoggi?Yes before you write anything against JPM you have to think about your safety.
Zitto and others gave Eric alot of money so he can write his articles against JPM.Now Eric is behind bars while Zitto et al are outside eating bata.

Please clarify this statement.
 
What matters ni uwepo wake nyumbani. Hata mkiwa hamna kitu nyumbani ule uwepo wa Baba nyumbani ni muhimu sana. Inauma sana kuona Baba yako yupo Lupango kwa kitu ambacho ilikuwa siyo lazima akifanye ili aishi. Ukielewa kwa nini unampinga Magu nyuma ya ID fake utanielewa what I mean.
Wanajua sana hao wapuuzi. Wanajifanya hapa kumsikitika huyo kijana wakati wao wamejificha nyuma ya ID fake. Ukiishi kwenye nyumba ya kioo usitupe mawe kwa walio nje. He had it coming...
 
Your warrior is an epitome of foolishness and stupid boldness. Now he suffers all alone with you followers just filling the server with unwarranted and blant comments
be careful
Kwamba wakati wengine wanahangaika usiku na mchana kutangaza kazi kubwa ya maend.jpg
 
Nahisi tatizo hapa ni uwezo binafsi wa Erick Kabendera..
Kwa hicho Kiingereza anachozungumza hapo ni lazima akina Bashite wangemfuata tu wamweke ndani..
Nasema hivyo make hawana hoja wala kesi yoyote ya maana dhidi ya huyu mtu!
 
Hii nchi kuna upande ukiwepo unakuwa salama sana..ila ukitoka huko au kuwa dhidi yao basi hesabu maumivu.Na ubaya wake ni kuwa hata kama mtu atakuwa na makosa huwa hawayasemi wakati ambao hajawaattack au wakati ambao yupo nao.ila wakati ambao anaonekana ni tishio ama kuwa anaelekea kuwa dhidi yao.
Haya mambo yanaweza kuisha endapo tu utasimamiwa ukweli katika wakati husika,wakati ambao mtu atahukumiwa pasi na kuangalia upande aliopo.kama isingekuwa kwa mtu kupata nafasi ya juu zaidi aliyonayo pengine na yeye angetoka humo siku moja angeshtakiwa kwa ufisadi wa uuzaji wa mali za serikali kipindi akiwa waziri.Huu mfumo wa kutofanya maamuzi sahihi kwa kuhofia upande wa mtu ndo unatugharimu sana,ila Muda huwaga ni mwalimu mzuri.
 
Where is Khashoggi?Yes before you write anything against JPM you have to think about your safety.
Zitto and others gave Eric alot of money so he can write his articles against JPM.Now Eric is behind bars while Zitto et al are outside eating bata.
Come on Vic!, Zitto can speak for himself.
 
Back
Top Bottom