Nipe Maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 335
- 190
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema mtu yeyote asiwagombanishe wananchi kwa sababu wakigawanyika hakuna maendeleo yanayoweza kufanikiwa.
Shigongo amesema atatangulia mbele ya wananchi waliomchagua na kwamba kama ni kuumia, yupo tayari kuumia kwanza kabla ya wananchi wake wa Buchosa waliompa dhamana ya kuwaongoza.
Amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi bilioni 40 ili kujenga mradi mkubwa wa maji Nyehunge ili kutatua changamoto ya maji katika jimbo hilo.
: