Mtoa mada naona unalinganisha vitu viwili visivyo lingana.Mlinganishe Erick na Basket mouth au da drunker.Pilipili wenzake ni kina kipemba,senga,kingwendu etc.Pilipili hawezi kushindana hata na joti na kundi lake au mkwere.
Du mtoa mada mungu anakuona...Yaani unamdhalilisha sana Omondi kumcompare na huyo Mwalimu Pilipili zero kabisa kwenye comedy.Hana kipaji kabisa analazimisha tu