Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,657 Reaction score 3,773 Jan 27, 2025 #1 Jipatie kitabu chako kupitia hapa : Link hii hapa
Disney2 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2025 Posts 435 Reaction score 649 Jan 27, 2025 #2 Jinsi ya kuuza madawa Au
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 8,681 Reaction score 16,279 Jan 27, 2025 #3 Erick Mandala,siju Steve Luemba... na wenginewengine namsikilizaga Fally akiwatajataja.Pole kwake,Spain watende haki.
Erick Mandala,siju Steve Luemba... na wenginewengine namsikilizaga Fally akiwatajataja.Pole kwake,Spain watende haki.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,823 Reaction score 113,403 Jan 27, 2025 #4 ki2c said: Erick Mandala,siju Steve Luemba... na wenginewengine namsikilizaga Fally akiwatajataja.Pole kwake,Spain watende haki. Click to expand... Sheria zao zipoje kwa upande wa madawa?
ki2c said: Erick Mandala,siju Steve Luemba... na wenginewengine namsikilizaga Fally akiwatajataja.Pole kwake,Spain watende haki. Click to expand... Sheria zao zipoje kwa upande wa madawa?
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,671 Reaction score 167,734 Jan 27, 2025 #5 Utakuta kwenye kitabu katueleza alivoanza kidogo kidogo kwa kuuza matikiti hadi akawa bilionea.
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 45,429 Reaction score 95,929 Jan 28, 2025 #6 Evelyn Salt said: Utakuta kwenye kitabu katueleza alivoanza kidogo kidogo kwa kuuza matikiti hadi akawa bilionea. Click to expand... Hahahaha,,kumbe.....anko wangu muacheni kwanza
Evelyn Salt said: Utakuta kwenye kitabu katueleza alivoanza kidogo kidogo kwa kuuza matikiti hadi akawa bilionea. Click to expand... Hahahaha,,kumbe.....anko wangu muacheni kwanza
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 20,216 Reaction score 24,544 Jan 28, 2025 #7 Muuza karanga billionaire khaaa Eric weeeeee.....basi sawaa
Disney2 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2025 Posts 435 Reaction score 649 Jan 28, 2025 #8 Evelyn Salt said: Utakuta kwenye kitabu katueleza alivoanza kidogo kidogo kwa kuuza matikiti hadi akawa bilionea. Click to expand... Yan ataanza alivyonusurika kuuwawa na waasi huko Congo
Evelyn Salt said: Utakuta kwenye kitabu katueleza alivoanza kidogo kidogo kwa kuuza matikiti hadi akawa bilionea. Click to expand... Yan ataanza alivyonusurika kuuwawa na waasi huko Congo
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 14,687 Reaction score 21,054 Jan 28, 2025 #9 Mashamba Makubwa Nalima said: View attachment 3215602 Jipatie kitabu chako kupitia hapa : Link hii hapa Click to expand... Mbona kifaransa, mashamba makubwa nalima!?
Mashamba Makubwa Nalima said: View attachment 3215602 Jipatie kitabu chako kupitia hapa : Link hii hapa Click to expand... Mbona kifaransa, mashamba makubwa nalima!?
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 17,623 Reaction score 21,321 Jan 28, 2025 #10 KAZI ni kipimo cha UTU