Erdogan aapa kutotetereshwa na vitisho vya Marekani

Erdogan aapa kutotetereshwa na vitisho vya Marekani

Kwa taarifa yako now America watu weusi wanaish kwa amani kuliko huko Turkey kwa mabwana zako

Nenda nchi za waarabu ukaone wanavyoishi kwa amani utafikiri wazawa, tena wamejaa ka utitiri na passport wamepewa. US kila day wauliwa na kuteswa....ndio maana nimekuambia unajitoa ufahamu.
 
Huo uandishi wa tu halafu unaandika tyu watoto wa kike ndio naona unawafaa sana labda kama na wewe mdada fresh hila kama mwanaume haijakaa poa

Hawa ndugu zangu bwana,mahaba yamewazidi kwa marekani mpaka wanaandika kisichoeleweka. Hatari sana..
 
Naona marekani amechelewa sana kumpiga vikwazo uturuki,kuna msururu wa mambo mengi sana uturuki anamtunishia marekani na USA amekaa kimya,baada ya kutungua ndege ya urusi walisalimu amri kwa Putin iwe kwa USA?hyo ni jeuri tyu na muda utasema
hakika!
 
Back
Top Bottom