Urudi kufanya nini wakati tumeshakuelewa....Ungekuwa mwandishi mzuri ulikuwa na habari nzuri sana ya kuripoti.
Ila kuna point nime-miss ili niweze kuchangia kwa ufasaha.
Nina maswali haya:-
Kuna sheria/regulations zozote zinazo-guide submission of quarterly repors? Due date iko clear?
Kama uki-default muda wa kupeleka reports, adhabu ziko clear?
Nimegundua wakati mwingine interpretation ya hizi sheria inatuchanganya wote consumers na watumishi wa serikali, tunajikuta tunajikanganya.
Hakuna kitu kizuri kama kuwa clear na taratibu zinazokuongoza katika jambo, kuna wizara moja inatoa penalty kwenye malipo hiyo, mpaka basi.
Ila, kama tatizo ni supervisor, sioni kwa nini unalaumi ERB, hasa kama sheria iko clear. Ni kuongea na supervisor au stake holders wote kukaa pamoja na kuliongelea hili.
Ntarudi!
Najua tatizo lako.Wewe na ripoti mbalimbali.Usijali tutandamana hicho kifungu cha ripoti na kusajiliwa kiondolewe..Urudi kufanya nini wakati tumeshakuelewa....
Halafu hii biashara ya kujisajili kwenye mibodi inakeraga sana asee.
Yaani shule nikate mimi, kufaulu nifaulu mimi..... sitambuliki mpaka bodi inisajili......agrrrrrr
HhahahahaaaaNajua tatizo lako.Wewe na ripoti mbalimbali.Usijali tutandamana hicho kifungu cha ripoti na kusajiliwa kiondolewe..
Urudi kufanya nini wakati tumeshakuelewa....
Halafu hii biashara ya kujisajili kwenye mibodi inakeraga sana asee.
Yaani shule nikate mimi, kufaulu nifaulu mimi..... sitambuliki mpaka bodi inisajili......agrrrrrr
Sijawahi kusajiliwa kwenye unywaji wa bia, lakini nikiugua TBL na SBL wananitumia kadi ya Get Well Soon.Ha ha ha ha, basi sirudi tena.
Ukiona unasajiliwa ujue umequalify kuwa profesheno.
Mie sijawahi sajiliwa, umama ntilie huu!!
Halafu mie baada ya pasaka tu ndio nafata trainee certificate,hata hizo riport sijajua utaratibu wake wa kusubmit...msaada plz niwe updated jamani!!!
Urudi kufanya nini wakati tumeshakuelewa....
Halafu hii biashara ya kujisajili kwenye mibodi inakeraga sana asee.
Yaani shule nikate mimi, kufaulu nifaulu mimi..... sitambuliki mpaka bodi inisajili......agrrrrrr
Nimeshangaa kwenye post hii kufahamu kwamba kunakuwa na "Supervisors wa mainjinia ambao ni primitives". Nilitegemea kwamba supervisor wa engineer lazima awe professional engineer ili aweze kumpika huyo graduate aive na kuwa professional vile vile. Sasa kama mnakamata mtu yeyote mtaani kuwapika mainjinia wetu, tutakuwa tunakwenda kinyume na malengo ya hayo mafunzo kwa vitendo kwa mainjinia wetu.
moja una bahati kama unakatwa nusu wengine wanakatwa zote
mbili mara nyingi kabla hawajaacha kukupa wanakupigia simu wanakuambia unadaiwa report na wanakupa deadline halafu usipopeleka wanakata
tatu mwenye jukumu la kupeleka taarifa kuwa report itachelewa ni trainee sio mpaka utafutwe
nne nafikiri wakikata wanatafuta mtu mwingine wanampa maana wapo wengi wanaohitaji
hayo ndio maoni yangu.
Ha ha ha ha, basi sirudi tena.
Ukiona unasajiliwa ujue umequalify kuwa profesheno.
Mie sijawahi sajiliwa, umama ntilie huu!!