Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,401
- 2,857
Kill the messenger
But accept the message
Kill the messenger
Inaelekea huko kwenye chama chakavu kupeana sumu ni jambo la kawaida sana.Kuna Ile ilimkosa Mangula
Alikuwa nae hadi usiku saa saba.Erasto Mfugale: Kusema kweli hatukuwa tumepata taarifa dhahiri hata imetokea nini kwasababu mimi Jumapili iliyopita nilikuwa kwake Temboni, nimekuwa na mazungumzo naye mpaka saa saba usiku lakini akaniambia kesho nina kikao kidogo kule Dodoma, kwahiyo nitatoka na ndege ya mchana. Nikamuaga nikasema naenda.
Cause: It might have been a serious heart attack due to some sudden shocking information.Erasto Mfugale: Kusema kweli hatukuwa tumepata taarifa dhahiri hata imetokea nini kwasababu mimi Jumapili iliyopita nilikuwa kwake Temboni, nimekuwa na mazungumzo naye mpaka saa saba usiku lakini akaniambia kesho nina kikao kidogo kule Dodoma, kwahiyo nitatoka na ndege ya mchana. Nikamuaga nikasema naenda.