Erasto Mfugale: Kilichotokea kazini sisi hatujui

Erasto Mfugale: Kusema kweli hatukuwa tumepata taarifa dhahiri hata imetokea nini kwasababu mimi Jumapili iliyopita nilikuwa kwake Temboni, nimekuwa na mazungumzo naye mpaka saa saba usiku lakini akaniambia kesho nina kikao kidogo kule Dodoma, kwahiyo nitatoka na ndege ya mchana. Nikamuaga nikasema naenda.
Alikuwa nae hadi usiku saa saba.
Huyu ndio wakuanza nae asaidie uchunguzi
 
Poleni Sana Wafiwa Nadhani Waziri alieleza kilichotokea..Kila nafsi itaonja mauti huo ni ukweli...
 
Vifo vya MAJIZI na MAFISADI huwaga vya ghafla. Hamkujifunza kwa Mwendawazimu.
 
Erasto Mfugale: Kusema kweli hatukuwa tumepata taarifa dhahiri hata imetokea nini kwasababu mimi Jumapili iliyopita nilikuwa kwake Temboni, nimekuwa na mazungumzo naye mpaka saa saba usiku lakini akaniambia kesho nina kikao kidogo kule Dodoma, kwahiyo nitatoka na ndege ya mchana. Nikamuaga nikasema naenda.
Cause: It might have been a serious heart attack due to some sudden shocking information.
 
Surely the circumstances surrounding his death suggest a foul play and that he didn't die from natural causes but who did this and for what reason is nobody's guess.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom