Ngida1
JF-Expert Member
- Aug 25, 2009
- 586
- 206
HII INASIKITISHA! Huu unaofanywa na hawa jamaa wa TBN ni ubaguzi wa wazi. Kwanini hawajaiweka Zanzibar kwenye hii list yao? Au kwasababu hatujasikia ajali mbaya kutokea huko Zanzibar?
Sasa tunangojea mpaka zitokee ajali mbaya huko Visiwani ili tutowe wito kama huu? Tanzania ni Zanzibar na Tanganyika - tuwacheni ubaguzi au bora wajiite Tanzania Bara Bloggers Network (TBBN)!