Epuka virus, tumia mfumo huu kwenye computer yako

Kuna demu huku tunamwita UBUNTU,,,kutumia UBUNTU OS ni sawa na kumkubali yule demu kuwa mzuri.
 
Tatizo la ubuntu
1. Haina popular apps nyingi za kazi hasa proffesional (autocad, popular graphics apps, nk)
2. Ukishatoa 20k yakuwekewa japo ni bure online utaingia gharama yakusoma mifumo mipya ya kiutumiaji hasa office zake na hata user interface yke
3. Ni kweli haivamiw cz haisupport extension ya executable .exe ambyo ndo virus wengi huwa lakin ina bugs zakutosha na kiuhalisia si stable os kwa wanaojua ndo mana windows na mac os ndo zinatumika zaid
5. Networking yake kulink na printers na other device ipo tofaut..
6. Watumiaji wachache so unakuwa kama mkiwa kwny nyumba ya mwenyewe hata ikiwa nzur huwez ifurahia bora sokoni na watu japo pachafu lakin happy huyu chungwa huyu embe mnamegeana maisha yanasonga kipindupindu kikija tunatibu maisha yanasonga kuliko nyumba yenye keki mwenyewe..maana yng ukiwa na ubuntu ni kama mkiwa ukitaka app nyingi itabid utafute mwnyw wakat wndows ni shingwe
 
Unaingea kwa uzoefu wako na jinsi ulivyo iona ila kimsingi hukuwahi kutumia mfumo huu wenye unaubora wa kipekee. Ni moja kati ya mfumo iliyo stable sana.
Hizo bugs unazo ziongelea sijui zinatoka wapi.
Hakuna bugs yoyote ukipata training utaweza kutumia bila shida pia utakuwa na option ya ku switch kwenye window pale utakapo kutumia programe za window
 
Kaka...
Tena mm sio ubuntu user ni linux nyingi nina uzoef nazo espicially mint na ubuntu japo si hzo tu... Unajua kwa nn huwa os hiyo inakuwa na upgrade nyingi? Kwa mwaka zinatoka tatu.. Ukipata jb la hilo tunza... Unajua libraries za ubuntu ni chache dats y zinakuwa ndogo compare na windows..
Mfano ubuntu 16 gb1.3 wakat win 10 gb 2.2 x86...
HIYO KAZ KAMA UNAFANYA KUMSAIDIA CLIENT WAKO MUWEKEE KAMA SIDE OS NA SIO MAIN... USIJIDANGANYE NA HYO WINE KURUN WINDOWS SOFTWARE KAJARIBU HATA AUTOCAD UCHEMKE...
AFTR RW WIN 10 BADO HAIJAPATA VIRUS CRITICAL HVYO WA KUKUFANYA USWITCH KWA UBUNTU...
 
Windows ina defender nzuri sana kwa ajili ya malware lakini ni moja kati ya OS inayoongoza kwa critical security vulnerabilities ndo maan kla wiki updates kibao yani just imagine vulnerability ya Adobe flash player inasababisha MTU kuweza ku access webcam yako
 
Kaka...
Tena mm sio ubuntu user ni linux nyingi nina uzoef nazo espicially mint na ubuntu japo si hzo tu... Unajua kwa nn huwa os hiyo inakuwa na upgrade nyingi? Kwa mwaka zinatoka tatu.. Ukipata jb la hilo tunza... Unajua libraries za ubuntu ni chache dats y zinakuwa ndogo compare na windows..
Mfano ubuntu 16 gb1.3 wakat win 10 gb 2.2 x86...
HIYO KAZ KAMA UNAFANYA KUMSAIDIA CLIENT WAKO MUWEKEE KAMA SIDE OS NA SIO MAIN... USIJIDANGANYE NA HYO WINE KURUN WINDOWS SOFTWARE KAJARIBU HATA AUTOCAD UCHEMKE...
AFTR RW WIN 10 BADO HAIJAPATA VIRUS CRITICAL HVYO WA KUKUFANYA USWITCH KWA UBUNTU...
Kila os inamapungufu yake lakini stability ya Ubuntu ni kubwa compared to window thats naona unaleta ujuaji mwingi, kwa kuwa wewe ulishatumia hutaki wenzako wajaribu. Kimsingi kutumia kama side os ndicho kilicho sema.
 
Tunaofanya graphics ubuntu haina kitu...huwezi weka photoshop, premiere pro au chochote kile..
 
Ubuntu ina programming zake za design kama Gimp hivyo si kweli kwamba huwezi kudesign kwa kutumia Ubuntu
 
Back
Top Bottom