Epuka sana kukopesha mtu pesa

Nilimkopesha mtu mil 3 mpaka leo mawasiliano hamna mwaka wa pili. Undugu umekufa kabisa
 
Hii kitu nimefanya sana
 
Hu

Na maana kabisa😂rekebisha bhana ipo siku italeta shida
Shida gani? Afu unachat na To yeye hakuna atakaechukulia serious coz mi huwa nachat chochote na yeyote Sina mtu humu Mimi.Ila kama wife yupo humu😃Utaelewa SoMo😉
 
Nimempa mtu laki mbili mwak 2018 had leo cjapata hyo pesa na mm jus nimepwe laki mbili na mzee mmoja Kama kunikopesha ila mkp sas Sijampatia nawaza nipate 50 nirejeshe kwanza
 
Shida gani? Afu unachat na To yeye hakuna atakaechukulia serious coz mi huwa nachat chochote na yeyote Sina mtu humu Mimi.Ila kama wife yupo humu😃Utaelewa SoMo😉
Yupo ndg yangu usinifanyie hivi nafumwa mchana kweupee
 
Hatuwezi kuepuka kukopeshana kwa kuwa tunaishi kwenye jamii na kusaidiana ni moja ya mambo yaliyo mema kibinadamu....matendo machafu dhidi ya wanajamii wachache waliochagua dhuruma kwenye misaada haiwezi kufunga milango ya waja wema wenye uhitaji na waliosimama kwenye uafilifu......

Penye wengi pia Pana mengi....kikubwa ni kufanya mambo au ukarimu unaoendana na uwezo wetu.......

Jamii inasimama kwa sababu ya matendo ya watu wanaofanya wema pasi na kutarajia chochote kwa wema wao na jamii inaangamia kwa watu wabaya dhidi ya watu wema.....
 
Yupo ndg yangu usinifanyie hivi nafumwa mchana kweupee
Mwambie aje inbox nimweleze namna ya kuishi na viumbe nyie.Nataka nimwambie tunachoangalia wenzie ni "je anakumbuka kulea familia? Vingine tunamwachia mwanaume mwenyewe aamue juu ya maisha yake.
 
Mwambie aje inbox nimweleze namna ya kuishi na viumbe nyie.Nataka nimwambie tunachoangalia wenzie ni "je anakumbuka kulea familia? Vingine tunamwachia mwanaume mwenyewe aamue juu ya maisha yake.
Usituharibie mahaba ewe kiruka viunzi😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…