Hadi kununua Malaya kweli bro?!!!Acha Pombe
Acha Betting
Acha kununua Malaya
Acha kwenda kwa Mpalange
Ofisi yako ipo wapi Dr.?1. POMBE
Madhara 👉maradhi ya moyo
👉 Saratani(Cancer)
👉 Afya ya akili
👉 Inapunguza kuaminika
👉 Upungufu wa nguvu za. kiume
👉 Hatari kwa mama mja mzito na afya ya mtoto tumboni
👉 Hupelekea ajali
👉uhalifu na ukatili
2. Sigara🚬🚭
Madhara: 😡saratani(Cancer)
😠 Maradhi ya moyo
😭 Madhara Kwa mama mja mzito na afya ya mtoto tumboni
Nk
Kila kitu kina madhara sasa tutumie nini ukizingatia hakuna atayegusa niaka ya kobe1. POMBE
Madhara 👉maradhi ya moyo
👉 Saratani(Cancer)
👉 Afya ya akili
👉 Inapunguza kuaminika
👉 Upungufu wa nguvu za. kiume
👉 Hatari kwa mama mja mzito na afya ya mtoto tumboni
👉 Hupelekea ajali
👉uhalifu na ukatili
2. Sigara🚬🚭
Madhara: 😡saratani(Cancer)
😠 Maradhi ya moyo
😭 Madhara Kwa mama mja mzito na afya ya mtoto tumboni
Nk
Hili ndiyo la msingi.Hebu lala.....
Kila ukikutana nae muongezee japo buku 2 akapate kitochiMzee wangu ana miaka 93 anakunywa pombe hatari, nimpe ushauri upi?
Uzi unasema tuepuke hivyo vituKila ukikutana nae muongezee japo buku 2 akapate kitochi
Kuliko ngono?1. POMBE
Madhara 👉maradhi ya moyo
👉 Saratani(Cancer)
👉 Afya ya akili
👉 Inapunguza kuaminika
👉 Upungufu wa nguvu za. kiume
👉 Hatari kwa mama mja mzito na afya ya mtoto tumboni
👉 Hupelekea ajali
👉uhalifu na ukatili
2. Sigara🚬🚭
Madhara: 😡saratani(Cancer)
😠 Maradhi ya moyo
😭 Madhara Kwa mama mja mzito na afya ya mtoto tumboni
Nk
Ungedakwa siku mojaKuna jamaa alikua analewa vibaya, na kurudi home usiku mkubwa.
Na akilala anakoroma
Akianza kukoroma, mshikaji jiran anasukuma mlango na kuingia ndani.
Yeye na mke wa jamaa wanafanya matusi kwenye kochi mpaka raundi tatu.
wakimaliza jamaa anatoka, mke anafunga mlango anarudi chumbani kulala kimyaa.